Which One should be core or subsidiary
Jitihada ndio muhimu zaidi
Ushuhuda ni kijana wa mtaani, huyu alikuwa hajui boli danadana 10 mtihani, ila anaupenda mnoo mpira, saa 12 anaenda beach, mazoezi, anajifunza kuchezea mpira, mazyezi wenzie ni saa 10:30 ye saa 9 yupo uwanjani, watu walimbeza wakamcheka, ila sasa hivi ana maendeleo makubwa, ni beki panga pangua, kaishaenda hadi zenji kucheza, sijui ni daraja la ngapi.
Ujana wetu, kwenye mtaa wetu wengi tulikuwa na vipaji hatari, hakuna uwanja nilikanyaga nikaonekana sijui mpira, mvivu wa mazoezi, nacheza ninapojisikia.. nishakutana na kauli "we fundi sana, inaonekana huna mazoezi" kitu ambacho ni kweli.
Hatimae mpira umeisha kibudu. 😂