Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Alomtuma Wenje kumsumbua LISSU UmaTukisema Lissu ni Muongo muwe mnatuelewa. August tu alisema hana ndoto ya kuwa mwenyekiti. Leo yumo.
View attachment 3186485
Mwambie aliyemtuma Wenje kugombea Uenyekiti, sababu tu LISSU kawachachafya kwenye kikao Kwa Hoja na shahidi Kisha R.I.P Mzee Kibao.Tukisema Lissu ni Muongo muwe mnatuelewa. August tu alisema hana ndoto ya kuwa mwenyekiti. Leo yumo.
View attachment 3186485
Na bado hamjasema, alowatuma mmtume Wenje Et amuondoe LISSU?.Huyu jamaa siku zinavyokwenda anazidi kuporomoka sababu hajui anachokitafuta...
Kachukua form za umakamu kaona hapana kavamia za uwemyekiti, kashavamia za urais tayari ..sawa ni haki yake ila kuna jambo halipo sawa kumhusu.
Tukisema Lissu ni Muongo muwe mnatuelewa. August tu alisema hana ndoto ya kuwa mwenyekiti. Leo yumo.
View attachment 3186485
Ukomo wa madaraka uje mpaka ktk nchi. Kwa mfano chama kiongoze miaka 10 halafu kimpishe mwenziweLisu hana alichopoteza, aliepoteza zaidi ni Mbowe ambae anapiga kelele ukomo wa madaraka wa ccm halafu yeye hataki kua na huo ukomo kwenye chama chake, hizo ni akili ama matope?
Huyu mtu ni Tatizo!😂Tukisema Lissu ni Muongo muwe mnatuelewa. August tu alisema hana ndoto ya kuwa mwenyekiti. Leo yumo.
View attachment 3186485
Lissu anaishi na Risasi mwilini, na haya ndiyo madhara yakeHuyu jamaa siku zinavyokwenda anazidi kuporomoka sababu hajui anachokitafuta...
Kachukua form za umakamu kaona hapana kavamia za uwemyekiti, kashavamia za urais tayari ..sawa ni haki yake ila kuna jambo halipo sawa kumhusu.
modomo umeumbuliwa na technologia,Tukisema Lissu ni Muongo muwe mnatuelewa. August tu alisema hana ndoto ya kuwa mwenyekiti. Leo yumo.
View attachment 3186485
Lissu au wanasiasa?Tukisema Lissu ni Muongo muwe mnatuelewa. August tu alisema hana ndoto ya kuwa mwenyekiti. Leo yumo.
View attachment 3186485
We ni pimbi tu Huna jipya Acha chuki za KiboyaTukisema Lissu ni Muongo muwe mnatuelewa. August tu alisema hana ndoto ya kuwa mwenyekiti. Leo yumo.
View attachment 3186485
Lissu yupo sahihi, unaweza ukawa huna ndoto ya jambo fulani, bt mazingira yakakulazimisha kufanya jambo hilo.Tukisema Lissu ni Muongo muwe mnatuelewa. August tu alisema hana ndoto ya kuwa mwenyekiti. Leo yumo.
View attachment 3186485
Hapo haujaongelea hoja iliyoko mezani. Lisu muongo si muongo? Na wewe umetumwa na nani? Angalia mambo ya CameroonWewe jinga la Mushumbusi. Mke wa Slaa yuko wapi? Umekuja na upuuzi wako humu tunakuangalia tu. Wewe si ulikuwa unamtuhumu Mbowe kuwa ni mtega sumu? Si uliwahi kimtuhumu humu kumtegea sumu Zitto? Leo unamtetea kwa kuwa umetumwa au umejipendekeza kupata chochote kitu. Mjinga mmoja wewe!!
Kama aliota October shida Iko wapi?Tukisema Lissu ni Muongo muwe mnatuelewa. August tu alisema hana ndoto ya kuwa mwenyekiti. Leo yumo.
View attachment 3186485
Mtu kusema "hajawahi kuwa na ndoto"ndio unamtuhumu uongo au hujui Kiswahili?!Tukisema Lissu ni Muongo muwe mnatuelewa. August tu alisema hana ndoto ya kuwa mwenyekiti. Leo yumo.
View attachment 3186485
Ila hujajibu hoja zaidi ya kutukana tu kama ilivyo kanuni ya Pro Lissu. Kutukana tu.Wewe jinga la Mushumbusi. Mke wa Slaa yuko wapi? Umekuja na upuuzi wako humu tunakuangalia tu. Wewe si ulikuwa unamtuhumu Mbowe kuwa ni mtega sumu? Si uliwahi kimtuhumu humu kumtegea sumu Zitto? Leo unamtetea kwa kuwa umetumwa au umejipendekeza kupata chochote kitu. Mjinga mmoja wewe!!
Mleta mada ni zuzu, hakuna ubaya wowote mtu kufanya jambo ambalo hakua na ndoto nalo, kufanya hivo wala hakutafsiriki kama uongo.Mtu kusema "hajawahi kuwa na ndoto"ndio unamtuhumu uongo au hujui Kiswahili?!
Jinga la nguvu ni wewe. Umejibu hoja ya post yake? Jibu hoja je Lisu aliwahi kusema hana ndoto za kuwa Mwenyekiti? If yes, anachofanya sas, ni mtu wa kumwamini? Ndiyo hoja ijibuWewe jinga la Mushumbusi. Mke wa Slaa yuko wapi? Umekuja na upuuzi wako humu tunakuangalia tu. Wewe si ulikuwa unamtuhumu Mbowe kuwa ni mtega sumu? Si uliwahi kimtuhumu humu kumtegea sumu Zitto? Leo unamtetea kwa kuwa umetumwa au umejipendekeza kupata chochote kitu. Mjinga mmoja wewe!!
Si baadae anasema aliombwa sana na watu wa chama kugombea ndicho kilichomsukuma, chama kimeonekana kuyumba sana chini ya Mbowe akaombwa sana agombee hiyo nafasi nadhani si dhambi, Chadema ni chama cha demokrasia mbona leo mnaiyona kahawa hiyo demokrasia kumbe mmekuwa mukihubiri mmdomo ni tuTukisema Lissu ni Muongo muwe mnatuelewa. August tu alisema hana ndoto ya kuwa mwenyekiti. Leo yumo.
View attachment 3186485