Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
- Thread starter
-
- #21
Hata mimi najua wewe ulishasema utaoa Marekani sijui kwanini hawaelewi kazi kukufuata fuata. Tena ulisema utamuoa Maria Obama.
Sasa Show vipi mkuu? Watu tuna kiu na muziki mzuri.
Hahaha! Taratibu Don, hatutaki urudi tena huko ulikotoka juzi, utatukosesha vingi hasa hasa nyimbo zako mpya. Hao unaowagusa soon utapotea tena.
🤣🤣🤣 hili ngoma inabidi alitolee remix maana ndiyo hit kwenye EP yake.Nipo naburudika na ngoma ya I am soldier, I am soldier hapa
huyo dada mwenyewe ndiyo anasema kuwa mko kwenye mahusiano kumbe anajipendekeza aisee
nina ushahidi wa nyaraka nyeti umekuwa ukiwasiliana mara nyingi. japo ninafuatailia kama unamtaka kimapenzi mh.waziri
Daah huyu ngosha huwa simuelewi kabisa☺
Another Deo KisanduDaah huyu ngosha huwa simuelewi kabisa[emoji5]
Aliye karibu na huyu jamaa,amnyang'anye simu,kwa kweli kama anampenda😅😅😅
Kaazi kweli kweli.
Wingu limetanda nini