Sijawahi kuwasiliana na Naibu Waziri wa Habari (Juliana) tangu March 2013 na sina mpango wa kuwasiliana naye hata kwa kufoji mawasiliano

Sijawahi kuwasiliana na Naibu Waziri wa Habari (Juliana) tangu March 2013 na sina mpango wa kuwasiliana naye hata kwa kufoji mawasiliano

Hata mimi najua wewe ulishasema utaoa Marekani sijui kwanini hawaelewi kazi kukufuata fuata. Tena ulisema utamuoa Maria Obama.

Sasa Show vipi mkuu? Watu tuna kiu na muziki mzuri.

Oktoba
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mirembe kumejaa mataahira,lakini mitaani kuna mataahira zaidi yao
 
Safari hii wakikikamata watakutupa gereza la vichaa ISANGA
 
  • Thanks
Reactions: amu
yule mchumba wako daktari wa Australia anayeishi marekani yupo, kama yupo msalimie shemeji
achana na hawa wajaa vumbi
 
  • Thanks
Reactions: amu
Safi sana Don hao wabunge na mawaziri wanaokutaka achana nao wewe piga Music
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom