Sijawahi kuwasiliana na Naibu Waziri wa Habari (Juliana) tangu March 2013 na sina mpango wa kuwasiliana naye hata kwa kufoji mawasiliano

Jana niliona Morrison amekamatwa kisa amevuta bangi ya bukoba😅 isiwe kama ndo hii hii inatumika kwa mdau mwenzetu kila siku hali inazidi kuwa mbaya
 
Don Nalimison Don ungeandika kiufupi tu muheshimiwa Juliana na wabunge wengine wa kike waache kujipendekeza na kusingizia kuwa mna mawasiliano hasa kipindi hiki cha uchaguzi.
 
Halafu eti mahakama zetu zikamfunga miaka 3 gerezani! Huyu anahitaji matibabu sio kifungo.
Ndiyo suluhisho la watu wenye shida ya afya ya akili. Kumfunga mtu kwa vile kaandika mambo ya ajabu pasipo kuchunguza tatizo alilo nalo ni kumuongezea matatizo zaidi. Hadi Mtemi kubadilisha jina, yatosha kujua nini kipo mawazoni mwake. Siku zote anaona watu wanamwandama kutaka kumtendea maovu. Hiyo ni dalili tosha ya kuonesha nini kinahitajika katika kuyaweka sawa maisha yake. Lakini ni nani atamsaidia?
 
Inaniponza kuzuliana Nongwa..

Hii ni safi haifungiwi hata na Juliana shonza..

Hakuna tena ubaya wa kuzuia na boda..

Ukimwaga ugali na kususia na mboga..
 
Afadhali Kim Kardashian ameweza kuvunja ukimya juu ya hali ya mme wake, mke wa Don Nalimison yuko wapi aokoe jahazi linazama!
 
Goma lako kali sana jitahidi umfunike BEST NASSO make huko kwenu ndo Mfalme
 
Taarifa zinazagaa wapi, wengine ndio tunasikia kutoka kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…