Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hili ngoma inabidi alitolee remix maana ndiyo hit kwenye EP yake.
Ndiyo suluhisho la watu wenye shida ya afya ya akili. Kumfunga mtu kwa vile kaandika mambo ya ajabu pasipo kuchunguza tatizo alilo nalo ni kumuongezea matatizo zaidi. Hadi Mtemi kubadilisha jina, yatosha kujua nini kipo mawazoni mwake. Siku zote anaona watu wanamwandama kutaka kumtendea maovu. Hiyo ni dalili tosha ya kuonesha nini kinahitajika katika kuyaweka sawa maisha yake. Lakini ni nani atamsaidia?Halafu eti mahakama zetu zikamfunga miaka 3 gerezani! Huyu anahitaji matibabu sio kifungo.
Kaandika gazetiDon Nalimison Don ungeandika kiufupi tu muheshimiwa Juliana na wabunge wengine wa kike waache kujiendekeza na kusingizia kuwa mna mawasiliano hasa kipindi hiki cha uchaguzi.
I am soldier ni ngoma yako?Agost
😂😂Anaitwa Don Nalimison aka Hardcore Don, Don Mbishi au Extremist Don, Don Gangsta. Don Jiwe, Don kichwa kigumu au Don Jeuri. Okoa muda na nguvu muite Don Muhafidhina
I am soldier ni ngoma yako?
Afadhali Kim Kardashian ameweza kuvunja ukimya juu ya hali ya mme wake, mke wa Don Nalimison yuko wapi aokoe jahazi linazama!
Dishi limeyumba.Daah huyu ngosha huwa simuelewi kabisa☺