Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Wakuu inafikirisha kidogo!
Naomba nitoe rai kwa mamlaka kuandaa mafunzo ya kutengeneza juisi bora kwa wajasiriamali wadogo wadogo mana mtaani huku wanautuua haki ya mungu.
Leo katika pitapita zangu tandika nikaona juisi ya miwa nikajikoki ya jero. Dah! ๐ค๐ค wakuu sijawhi kukutana na kitu kitamu kama hii juisi wallahi. Juisi tamu kuliko asali, kuliko sukari na kuliko utamu wa aina yoyote niliowahi kukutana nao nikiwa na AKILI zangu timamu
Yule jamaa nahisi katia sukari guru mule ndani kamix by asali na kaweka na sukari nyeupe. Doh wallahi sikufanikiwa kuimaliza na hapa nilipo nimepigwa na kichefchef kizito. Nahisi kukarahika kabisa kwa utamu uleee.. madokta nimeamua kuchabganya na kahawa kidogo mana nikiiacha hii peke yake ifike kwemye insulini leoleo napata kisukari wallahi
Cc. Madokta wote jf
Mamlaka zitutetee tu, haiwezekani juisi ya miwa inayot3ngeneza sukari itiwe sukari