Kwanza unatakiwa ujue kwamba risk factors za kisukari ni
👉age
👉family history
👉lifestyle (hapa nazungumzia sedentary life style kwenye gari, ofisini, kwenye gari nyumbani hapana mazoezi nk)
Aina za kisukari zipo tatu
Insulin dependent dm (hapa mtu anakua hana insulin kabisa)
Non insulin dependent dm (hapa inakuepo ila inakua de activated na beta cells )
Gestational diabates (hii huwapata wajawazito)
Short and clear huwezi pata kisukari kwa siku moja boss ila ni kwamba level ya sukari itapanda kwa muda then insulin itafanya kazi yake na kuirudisha back to normal
Nimechoka kuandika essay😀😀