Sijawahi na sitakuja kukutana na kitu kitamu walahi kama kile katika maisha yangu yote yaliyobakia

Sijawahi na sitakuja kukutana na kitu kitamu walahi kama kile katika maisha yangu yote yaliyobakia

Juisi ya miwa inanitia hamsha. Kila nikikutana nayo lazima nitie sunna kama unavyoona mchuzi wa pweza tu
kweli boss mimi juzi nipo kariakoo na joto hili na jua kali nimeibuigia balaaa. kila nikikata mtaa nikaona wanapo tengeneza nazama nakula glass. afu wanachanganya tangawizi , limao inakuwa na radha flan amazingi na kile kibaridi chake yaan unachikuta unavuta mrijaa kwa raaaaha.
 
Wakuu inafikirisha kidogo!
Naomba nitoe rai kwa mamlaka kuandaa mafunzo ya kutengeneza juisi bora kwa wajasiriamali wadogo wadogo mana mtaani huku wanautuua haki ya mungu.

Leo katika pitapita zangu tandika nikaona juisi ya miwa nikajikoki ya jero. Dah! 🤔🤔 wakuu sijawhi kukutana na kitu kitamu kama hii juisi wallahi. Juisi tamu kuliko asali, kuliko sukari na kuliko utamu wa aina yoyote niliowahi kukutana nao nikiwa na AKILI zangu timamu

Yule jamaa nahisi katia sukari guru mule ndani kamix by asali na kaweka na sukari nyeupe. Doh wallahi sikufanikiwa kuimaliza na hapa nilipo nimepigwa na kichefchef kizito. Nahisi kukarahika kabisa kwa utamu uleee.. madokta nimeamua kuchabganya na kahawa kidogo mana nikiiacha hii peke yake ifike kwemye insulini leoleo napata kisukari wallahi
Cc. Madokta wote jf

Mamlaka zitutetee tu, haiwezekani juisi ya miwa inayot3ngeneza sukari itiwe sukari
View attachment 3187708
😂😂 Dah pole sana
 
Unaweza fanya literature review kutaka kujua kwa undani, nimeeleza short and clear kuandika essay ndo mtihani😀😀
Affluent diseases diabetes ipo lakini kila nikiangalia life style naona inanigomea kabisa yani. Kisukari kinapandaje wakati insulin iko active? Na drunkenness inatokeaje mana vitu kama bia ni vya uchungu.. why insuline fails? Au kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kisukari na uzito?
 
kweli boss mimi juzi nipo kariakoo na joto hili na jua kali nimeibuigia balaaa. kila nikikata mtaa nikaona wanapo tengeneza nazama nakula glass. afu wanachanganya tangawizi , limao inakuwa na radha flan amazingi na kile kibaridi chake yaan unachikuta unavuta mrijaa kwa raaaaha.
Wew utakuwa umenielewa kuliko watu wote humu jf kuhusu utamu wa juisi ya miwa. Sasa imagine uongezewe sukari sasa
 
Hahaha anajifanya seriuos kumbe kashindwa kugundua hata toothpicks huyo. Achana naye mkuu.
Mtu akikosa hela ya kula anataka jamiiforum yote hii iendane na mahuzuniko yake. Majukwaa ya biashara yapo, ya siasa yapo. Haya ya entertainment pia tunayo, na tunatamba nayo
 
downloadfile-1.jpg
umelishwa na mbolea we unaona Tamu tu!😂
 
Back
Top Bottom