Sijawahi na sitakuja kukutana na kitu kitamu walahi kama kile katika maisha yangu yote yaliyobakia

Mimi hua nikifika Mahala pajuice hua namwambia nitengenezeee kavu apo ya gharama ili nisimsumbue mavitu yake wewe ukaona barafu ndani ya juicy mterezo😆😆😆
Sasa mkuu na jua hili nishasweti nakataaje vitu vya baridi mkuu?. Hayo mambo yenu washindwa kwenye viyoyozi
 
Na vipi kuhusu hyper glicemia? Ofkooz nimewahi kusikia kuhusu unywaji wa soda kuanzia chupa mbili kwa siku na kukutwa na sukari nyingi kama vina uhusiano. Although iliwah kumkuza ntu mmoja aged kidogo.. how to go with it? Use 1 to 10 scaling lane
Hyper glycemia na hypoglycemia ni forms tu za dm
Hyper blood glucose inakua juu hypo inakua chini compared to normal range ya fast glucose na glucose baada ya kula
 
diabetes inspidus inakaaje dr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…