Sijawahi na sitakuja kukutana na kitu kitamu walahi kama kile katika maisha yangu yote yaliyobakia

Juisi ya miwa inanitia hamsha. Kila nikikutana nayo lazima nitie sunna kama unavyoona mchuzi wa pweza tu
kweli boss mimi juzi nipo kariakoo na joto hili na jua kali nimeibuigia balaaa. kila nikikata mtaa nikaona wanapo tengeneza nazama nakula glass. afu wanachanganya tangawizi , limao inakuwa na radha flan amazingi na kile kibaridi chake yaan unachikuta unavuta mrijaa kwa raaaaha.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Dah pole sana
 
Unaweza fanya literature review kutaka kujua kwa undani, nimeeleza short and clear kuandika essay ndo mtihaniπŸ˜€πŸ˜€
Affluent diseases diabetes ipo lakini kila nikiangalia life style naona inanigomea kabisa yani. Kisukari kinapandaje wakati insulin iko active? Na drunkenness inatokeaje mana vitu kama bia ni vya uchungu.. why insuline fails? Au kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kisukari na uzito?
 
Wew utakuwa umenielewa kuliko watu wote humu jf kuhusu utamu wa juisi ya miwa. Sasa imagine uongezewe sukari sasa
 
Hahaha anajifanya seriuos kumbe kashindwa kugundua hata toothpicks huyo. Achana naye mkuu.
Mtu akikosa hela ya kula anataka jamiiforum yote hii iendane na mahuzuniko yake. Majukwaa ya biashara yapo, ya siasa yapo. Haya ya entertainment pia tunayo, na tunatamba nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…