max as well
Senior Member
- Sep 10, 2023
- 141
- 315
Wakuu Mimi nilikua ni mpenzi sana wa dini ya kisabato ,niliipenda dini hii kuanzia itikadi za Muonekano(nywele,mavazi),pili nyimbo zao zinavutia sana,ilifika kipindi kidoogo niwe msabato rasmi.
Lakini tangu nianzie kufuatilia mahubiri Yao muda wote wanahubili Mambo ya siku ya sabato ni ipi,Mnyama na joka kupitia Rumi ya kipagani,mala chapa ya paji ya nyuso zao
Muda wote ni kuiponda Roma,hua najiuliza inamaana bibilia nzima imejaa vifungu hivyo tuuu
ALAMA YA MNYAMA,