Sijawahi yaelewa mahubiri ya Wasabato

Sijawahi yaelewa mahubiri ya Wasabato

1. Dini ya kweli ni Ile ya kuwajali yatima na wajane
2. Tuzitii amri kumi 1-4 upendo kati mungu na mwanadamu 5-10 upendo kati ya wanadamu .
3. Na waenende Kwa Sheria na ushuhuda kama sivyo bas kwao hapana asubuhi zingatia neno asubuhi.
Zaidi ya yote neema ya kristo yatubidisha
 
Umewanukuu vibaya Hawa jamaa,mbona wako vizuri tuu Mkuu Tena ukifika mgeni wa dhehebu lingine kwao,utasikia aliye karibu na mgeni,mpe mkono' wa karibu!Jisikie mgeni kula popote Leo ni Sabato.Maana wanabeba menu.
Naijua hiyo, ni siku ya sabato kweli kama ulivyosema. Kutana nao hizo siku zingine sasa katika mishemishe za kila siku ndo utaelewa
 
HACHA uongo, utaelewaje mahubiri ya mwaposa, husielewe mahubiri yaliopangiliwa!!!!
Mahubiri ya kisabato ni mafundisho ya Biblia sio story:
1: Sabato
2: Dalili za kuja kwa Yesu
3: Kanisa la kweli
4: Yesu kuhani mkuu
5: Mwenendo wa Mkristo
6: Wokovu (uhusiano kati ya Neema, Sheria na Wokovu)
7: Ujio wa Yesu(Yesu atarudi kwa Namba gani)
8: Hali ya wafu ( Nini kinatokea baadae ya mtu kufa)
Nini kitatokea baada ya mtu kufa? End of story.
 
Hatari sana,sijawai skia Roma ,anglikan wakiponda dini zingne
HERI WENYE MIOYO SAFI NDIO WATAKAO UONA UFALME WA MBINGU
Dini zingne wanatumia nguvu nyingi kuponda madhehebu mengne ili wapate wafuasi(sadaka)
 
Wakuu Mimi nilikua ni mpenzi sana wa dini ya kisabato ,niliipenda dini hii kuanzia itikadi za Muonekano(nywele,mavazi),pili nyimbo zao zinavutia sana,ilifika kipindi kidoogo niwe msabato rasmi.

Lakini tangu nianzie kufuatilia mahubiri Yao muda wote wanahubili Mambo ya siku ya sabato ni ipi,Mnyama na joka kupitia Rumi ya kipagani,mala chapa ya paji ya nyuso zao

Muda wote ni kuiponda Roma,hua najiuliza inamaana bibilia nzima imejaa vifungu hivyo tuuu

ALAMA YA MNYAMA,
Basi hilo dhehebu lina watu dhaifu sana kichwani, angalia watakuwa na vitabu mahususi vya upotoshaji
 
HACHA uongo, utaelewaje mahubiri ya mwaposa, husielewe mahubiri yaliopangiliwa!!!!
Mahubiri ya kisabato ni mafundisho ya Biblia sio story:
1: Sabato
2: Dalili za kuja kwa Yesu
3: Kanisa la kweli
4: Yesu kuhani mkuu
5: Mwenendo wa Mkristo
6: Wokovu (uhusiano kati ya Neema, Sheria na Wokovu)
7: Ujio wa Yesu(Yesu atarudi kwa Namba gani)
8: Hali ya wafu ( Nini kinatokea baadae ya mtu kufa)
Siyo hacha ni acha
 
Wakuu Mimi nilikua ni mpenzi sana wa dini ya kisabato ,niliipenda dini hii kuanzia itikadi za Muonekano(nywele,mavazi),pili nyimbo zao zinavutia sana,ilifika kipindi kidoogo niwe msabato rasmi.

Lakini tangu nianzie kufuatilia mahubiri Yao muda wote wanahubili Mambo ya siku ya sabato ni ipi,Mnyama na joka kupitia Rumi ya kipagani,mala chapa ya paji ya nyuso zao

Muda wote ni kuiponda Roma,hua najiuliza inamaana bibilia nzima imejaa vifungu hivyo tuuu

ALAMA YA MNYAMA,
KAnisa la sabato na RC ni kama simba na yanga watani wajadi,ila RC hana muda nao kabisa mana sabato kwa RC ni kama Nyangumi na dagaa.

Wasabato hawana jipya zaidi ya hayo ndio mafundisho yao makuu na ndio yanawafanya waitwe wasabato.

All in all dini ni utapeli wa kifikra.
 
Ndio walivyo mkuu, hata kwenye mikutano yao wanahubiri tu, sabato hawahubiri habari ya ufalme wa Mungu, wamekomaa sabato ya kweli sabato ya kweli. Yesu amesema heri wenye moyo safi watamuona Mungu
WAKO TOO SHALLOW
 
Sio kila mtu anahitaji mabikra 72 mkuu
Sawa mie nimewakumbusha tu tumeitwa umma bora kwakuamrishana mema na kukatazana mabaya

Mie nishamaliza jukumu langu musiabudie masanamu mutapotea vibaya
 
Sawa mie nimewakumbusha tu tumeitwa umma bora kwakuamrishana mema na kukatazana mabaya

Mie nishamaliza jukumu langu musiabudie masanamu mutapotea vibaya
hao mabikra pambanien wenyewe wengine tunautafuta ufalme wa Mungu
 
Ukifa hali yakua sio Muislam (kafiri) ujue kabisa utakua kuni huko motoni mujitathmini wakati nisasa

Twakumbushana tu kwakua sisi ni umma bora
Unakuta unamheshimu mtu kumbe nae ni msenge tu...!! Kafiri babu yako panzi wee
 
Ukifa hali yakua sio Muislam (kafiri) ujue kabisa utakua kuni huko motoni mujitathmini wakati nisasa

Twakumbushana tu kwakua sisi ni umma bora
Unapotosha. Ni aya gani katika Quran inasema binadamu watakuwa kuni huko motoni?
 
Unakuta unamheshimu mtu kumbe nae ni msenge tu...!! Kafiri babu yako panzi wee
😀😀😀 Pole mkuu mie unanionea bure tu lakini pamoja na huyo babu yangu

Kwani sisi ndio tulowaita makafiri sisi tumenukuu tu

Kinyume cha uislamu ni ukafiri kwahio chungu lakini dawa kwahio meza tu hata kama mbaya

Kabla sijasahau panzi mwenyewe
 
Unapotosha. Ni aya gani katika Quran inasema binadamu watakuwa kuni huko motoni?
Pitia hapa boss sio maneno yangu haya mie nanukuu

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا قُوا أَنفُسَكُمْ وَأَهْلِيكُمْ نَارًا وَقُودُهَا النَّاسُ وَالْحِجَارَةُ عَلَيْهَا مَلَائِكَةٌ غِلَاظٌ شِدَادٌ لَّا يَعْصُونَ اللَّـهَ مَا أَمَرَهُمْ وَيَفْعَلُونَ مَا يُؤْمَرُونَ﴿٦﴾

Enyi walioamini! Jikingeni nafsi zenu na ahli zenu na moto ambao kuni zake ni watu na mawe; juu yake wako Malaika washupavu hawana huruma, shadidi, hawamuasi Allaah kwa yale Anayowaamrisha na wanafanya yale wanayoamrishwa. [At-Tahriym 6]
 
Back
Top Bottom