Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
Hahahaha 😂 😂 ivi wewe nini lakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha 😂 😂 ivi wewe nini lakini
Ulipotelea wapi msabato?Hahahaha 😂 😂 ivi wewe nini lakini
ni kukaa tu nje na mitandao kwa siku chache tuUlipotelea wapi msabato?
Kati ya makanisa ambayo sadaka au fedha yoyote inayotolewa kanisani si mali ya kiongozi yoyote ni wasabato.Cha msingi watu wanataka sadaka habari ya kuelewa tafuta kamusi
Ni kweli inapelekwa mbinguniKati ya makanisa ambayo sadaka au fedha yoyote inayotolewa kanisani si mali ya kiongozi yoyote ni wasabato.
Uongoni kukaa tu nje na mitandao kwa siku chache tu
Mbona Muhammad anachomwa moto sasa huko alikoUkifa hali yakua sio Muislam (kafiri) ujue kabisa utakua kuni huko motoni mujitathmini wakati nisasa
Twakumbushana tu kwakua sisi ni umma bora
friend omba Mungu akausaidie ufahau haswa wa neno lake.. kunena kwa lugha paul ameenda vyema zaidi..
Walokole mnatamani muandike biblia nyingine na mafungu yafuatayo yaonekaneWatakuwa wamekugusa hasa kwenye Kunena KWA lugha,,, shokoro mogoro dooooo,shokoro magoroooo,
Hakuna anatamani kufanya hivyo.. Anaetamani kufanya hivyo ni kwasababu haelewi..WWa
Walokole mnatamani muandike biblia nyingine na mafungu yafuatayo yaonekane
1: sabato ilitolewa KWA wayahudi tu
2:Sabato iligongolomewa msalabani
3: kunena KWA lugha ndio ishara ya kuokoka
4:Kuwa mchungaji sio lazima kusoma , mradi ubadili sauti, uwe na sauti ya kukoloma
5:.....
Kwani hayo mafungu yanashida ganiHakuna anatamani kufanya hivyo.. Anaetamani kufanya hivyo ni kwasababu haelewi..
Ukristo sio dini ni maisha halisi..
Waefeso 2:1.,2.,3.,4.,5.,6.,7.,8.,9.,10.,11.,12.,13.,14.,15.,16.,17.,18.
1. Nanyi mlikuwa wafu kwa sababu ya makosa na dhambi zenu; 2. ambazo mliziendea zamani kwa kuifuata kawaida ya ulimwengu huu, na kwa kumfuata mfalme wa uwezo wa anga, roho yule atendaye kazi sasa katika wana wa kuasi; 3. ambao zamani, sisi sote nasi tulienenda kati yao, katika tamaa za miili yetu, tulipoyatimiza mapenzi ya mwili na ya nia, tukawa kwa tabia yetu watoto wa hasira kama na hao wengine. 4. Lakini Mungu, kwa kuwa ni mwingi wa rehema, kwa mapenzi yake makuu aliyotupenda; 5. hata wakati ule tulipokuwa wafu kwa sababu ya makosa yetu; alituhuisha pamoja na Kristo; yaani, tumeokolewa kwa neema. 6. Akatufufua pamoja naye, akatuketisha pamoja naye katika ulimwengu wa roho, katika Kristo Yesu; 7. ili katika zamani zinazokuja audhihirishe wingi wa neema yake upitao kiasi kwa wema wake kwetu sisi katika Kristo Yesu. 8. Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu; 9. wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu. 10. Maana tu kazi yake, tuliumbwa katika Kristo Yesu, tutende matendo mema, ambayo tokea awali Mungu aliyatengeneza ili tuenende nayo. 11. Kwa ajili ya hayo kumbukeni ya kwamba zamani ninyi, mlio watu wa Mataifa kwa jinsi ya mwili, mnaoitwa Wasiotahiriwa na wale wanaoitwa Waliotahiriwa, yaani, tohara ya mwilini iliyofanyika kwa mikono; 12. kwamba zamani zile mlikuwa hamna Kristo, mmefarakana na jamii ya Israeli, wageni wasio wa maagano ya ahadi ile. Mlikuwa hamna tumaini, hamna Mungu duniani. 13. Lakini sasa, katika Kristo Yesu, ninyi mliokuwa mbali hapo kwanza mmekuwa karibu kwa damu yake Kristo. 14. Kwa maana yeye ndiye amani yetu, aliyetufanya sisi sote tuliokuwa wawili kuwa mmoja; akakibomoa kiambaza cha kati kilichotutenga. 15. Naye akiisha kuuondoa ule uadui kwa mwili wake; ndiyo sheria ya amri zilizo katika maagizo; ili afanye hao wawili kuwa mtu mpya mmoja ndani ya nafsi yake; akafanya amani. 16. Akawapatanisha wote wawili na Mungu katika mwili mmoja, kwa njia ya msalaba, akiisha kuufisha ule uadui kwa huo msalaba. 17. Akaja akahubiri amani kwenu ninyi mliokuwa mbali, na amani kwao wale waliokuwa karibu. 18. Kwa maana kwa yeye sisi sote tumepata njia ya kumkaribia Baba katika Roho mmoja.
Unaiona siasa hapo?Kwani hayo mafungu yanashida gani
Kwani siasa huwa ina rangi au muonekano gani hadi ionekaneUnaiona siasa hapo?
Sawa brother siasa haina rangi wala sauti. Nimequote Injili ambayo kwa wengine ni siasa na porojoKwani siasa huwa ina rangi au muonekano gani hadi ionekane
Haya wewe ambia watu ukweliUongo
Ni KWA namba gani hiyo injili ni siasa KWA wengine na sio kwakoSawa brother siasa haina rangi wala sauti. Nimequote Injili ambayo kwa wengine ni siasa na porojo
Nilisikia kwa sheikh mmoja kuwa ukifa ukiwa Muislamu na ukaenda mbinguni basi vinywaji ni vinne: maji, asali, maziwa na mvinyo. Ukinywa mvinyo ukalewa unaanza kupaa angani kama ndege (the same feeling wanapataga mateja). Na ikitokea ukaanguka basi utajikuta umeangukia kwa binti bikra unaanza mizagamuano. Ila ukinywa tu pombe hapa duniani huko mbinguni hamna share yako..Ukifa hali yakua sio Muislam (kafiri) ujue kabisa utakua kuni huko motoni mujitathmini wakati nisasa
Twakumbushana tu kwakua sisi ni umma bora
Walokole mnampango wa kuleta biblia Yenu yenye mafungu yafuatayoMkuu, Wasabato ni Judaism.
Ni dini inayojiita, au inayojulikana kama ya kikristo, lakini kiuhalisia inafuata mafundisho halisi ya dini ya Uyahudi(Judaism).
Dini ya Uyahudi ni dini inayozingatia zaidi mafundisho ya agano la kale. Haya ni mafundisho yaliyotolewa kabla ya ujio wa Yesu Kristo.
Yesu alifanya kazi hadi siku ya sabato, wayahudi walimuuliza, mbona unafanya kazi siku ya Sabato?
Aliwajibu kwa kuwapa mfano, Ng'ombe akitumbukia shimoni siku ya sabato, utamuacha afe kwa kuwa ni siku ya sabato?
Akawafafanulia kuwa, Sabato ni kwa ajili ya mwanadamu, na siyo mwanadamu kwa ajili ya Sabato.
Si kulaumu hujui unachosema kuhusu "ulokole"..Walokole mnampango wa kuleta biblia Yenu yenye mafungu yafuatayo
1: Namna ya kuomba Sara ya maombi ya kufunguliwa ( maji, mafuta na udongo wa kufunguliwa Matatizo)
2: Aina za mapepo, mapepo ya kukataliwa, mapepo ya umasikini, mapepo ya uongo
3: Ishara ya wokovu ni kunena KWA lugha, ukisha nena kea lugha tu lazima uende mbinguni. Kunena KWA lugha ndo daraja la mwisho la wokovu, ukilifikia unaenda mbinguni
4: Sabato iligongolomewa msalabani, Kwa hiyo neno sabato litafutwa kabisa, kwa kuwa limo kimakosa kwenye hii biblia
5: Hatuitaji kusoma ili tuelewe biblia, tunaomba na kukesha tu, tunakemea
🤣🤣🤣🤣 Kwa hiyo mwamba pepo yake atakuwa full kumwemwereka,akigeuka huku imo akigeuka huku imo.Pambana Mkuu hao bikira 72 tumewaachia..
Wa kwangu na wako jumla utakuaa nao 144