Sijawahi yaelewa mahubiri ya Wasabato

Sijawahi yaelewa mahubiri ya Wasabato

HACHA uongo, utaelewaje mahubiri ya mwaposa, husielewe mahubiri yaliopangiliwa!!!!
Mahubiri ya kisabato ni mafundisho ya Biblia sio story:
1: Sabato
2: Dalili za kuja kwa Yesu
3: Kanisa la kweli
4: Yesu kuhani mkuu
5: Mwenendo wa Mkristo
6: Wokovu (uhusiano kati ya Neema, Sheria na Wokovu)
7: Ujio wa Yesu(Yesu atarudi kwa Namba gani)
8: Hali ya wafu ( Nini kinatokea baadae ya mtu kufa)
Habari ya amri ya Jumapili nayo ni fundisho la Biblia Mkuu? Hebu tupe fungu?
 
Mzee punguza matumizi ya "H"
 
WWa

Walokole mnatamani muandike biblia nyingine na mafungu yafuatayo yaonekane
1: sabato ilitolewa KWA wayahudi tu
2:Sabato iligongolomewa msalabani
3: kunena KWA lugha ndio ishara ya kuokoka
4:Kuwa mchungaji sio lazima kusoma , mradi ubadili sauti, uwe na sauti ya kukoloma
5:.....
Sauti ya kukoloma na kukwaruza huwa nazisikia sana kwa walokole🤣
 
Mi human siiamini dini amblyopia inatumia nguvu nyingi kuponda nyingine Mara usipokuwa kwenye hio we kafiri we elekeza njia sahihi so kutumia nguvu nyingi kuponda na kuonea huruma kumbuka kuwa kwenye dini ambayo unadhani wewe iko sahihi bado haikupeleki mbinguni mf let's say dini sahihi uislamu kuwa muislamu bila kuifuata Ile misingi ya uislamu bado changamoto au let's say dini sahihi ulokole umekua mlokole Sawa Lakin pombe yako na wanawake wako hutaingia peponi
Kama kweli mambo ya mbingu yapo #TUTAPATATABUSANA
 
Haya mandamano ya kufuata mwaposa kila aendapo, unayasemeaje; Umeisha pokea, utajili, au unasubiri kufunguliwa na Joodev
Watoto watiifu wa Ellen G White. Nikikumbuka enzi zile za wale Wasabato Masalia walioweka kambi kwenye uwanja wa ndege wa JNIA, huwa nabaki tu kucheka mwenyewe.
 
Habari ya amri ya Jumapili nayo ni fundisho la Biblia Mkuu? Hebu tupe fungu?
1.Walikuwa waaminifu. Hapa tutaangalia manabii watatu ambao ni Yesu, Musa na Samweli ambao walikuwa waaminifu katika mambo yote ya Mungu. Waebrania 3:1-2
“...Yesu aliyekuwa mwaminifu kwake yeye aliyemweka, kama naye Musa alivyokuwa, katika nyumba yote ya Mungu.” Katika andiko hili, Yesu amefananishwa na nabii Musa alivyokuwa mwaminifu. Mwingine ni Samweli, alipokuwa mzee aliwashuhudia wana wa Israel jinsi alivyokuwa mwaminifu tangu akiwa kijana. 1Samweli 12:2-4 “Basi sasa, angalieni, mfalme anakwenda mbele yenu; na mimi ni mzee, mwenye mvi; tena, tazameni, wana wangu wapo pamoja nanyi; nami nimekwenda mbele yenu toka ujana wangu hata leo.
Nami nipo hapa; basi, mnishuhudie mbele za BWANA, na mbele ya masihi
wake, nalitwaa ng’ombe wa nani? Au nalitwaa punda wa nani? Au ni nani niliyemdhulumu? Ni nani niliyemwonea? Au kwa mkono wa nani nimepokea rushwa inipofushe macho? Nami nitawarudishia ninyi.
Nao wakasema, hukutudhulumu, wala hukutuonea, wala hukupokea kitu kwa mkono wa mtu awaye yote.”

2.Walikuwa wakisema kile ambacho Mungu aliwaambia au kuwaonyesha bila kuongeza au kupunguza. 2Petro 1:
21 “Maana unabii haukutolewa popote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu”.

3.Walikuwa na bidii kuutafuta uso wa Mungu. Hapa nitawataja baadhi ya manabii ambao walikuwa wanaomba mbele za Mungu kwa bidii ambao ni; Yesu Kristo Bwana wetu, Eliya Mtishibi na Ana. Soma katika Biblia: Luka 22:41, Luka 2:36-37 na Yakobo 5:17-18.

4.Walikuwa wanyenyekevu na wenye hofu ya Mungu.

5.Walikuwa na huruma kwa ajili ya Taifa lao na kuliombea ili Mungu asilihukumu kutokana na makosa ambayo lilifanya. Hapa nitawataja baadhi yao ambao ni Musa na Samweli. Samweli 12:23
“Walakini mimi, hasha! Nisimtende BWANA dhambi kwa kuacha kuwaombea ninyi; lakini nitawaelimisha katika njia iliyo njema, na kunyoka.”
Kutoka 32:31-32
“Musa akarejea kwa BWANA akasema, Aa! Watu hawa wametenda dhambi kuu wamejifanyia miungu ya dhahabu. Walakini sasa, ikiwa utawasamehe dhambi yao – na kama sivyo, unifute, nakusihi, katika kitabu chako ulichoandika.”

6.Waliyoyatabiri yalitimia. Lakini kwa nyakati hizi za mwisho ni muhimu kwa kila mwamini kuwa makini na kufahamu ya kwamba siyo kila nabii asemaye unabii ukatimia na kutenda miujiza ni nabii wa kweli. Kumbukumbu 13:1-3 “Kukizuka katika yako nabii, au mwotaji wa ndoto, akikutolea ishara au ajabu, ikatukia hiyo ishara au hiyo ajabu aliyokuambia, akisema, Na tuifuate miungu mingine usiyoijua, tuitumikie hiyo; wewe usiyasikilize maneno ya nabii yule, au yule mwotaji wa ndoto…”

Kutokana na andiko hili hapa juu linaonyesha wazi ya kwamba tunaweza kuwatambua manabii wanaopotosha kwa mambo yale wanayotuambia au kutuelekeza kinyume na neno la Mungu. Na ikiwa hawana matunda mazuri hao ni manabii wa uongo. Ndio maana imeandikwa; Mathayo 7:15-20 “Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa - mwitu wakali. Mtawatambua kwa matunda yao. Je! watu huchukua zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti? Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri. Kila mti usiozaa tunda zuri hukatwa ukatupwa motoni.
Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua.” Mfano wa mti mwema ni yule mtu anayeyafanya mapenzi ya Mungu (matakwa ya Mungu). Na mfano wa mti mwovu ni mtu asiyeyafanya mapenzi ya Mungu.

7.Unabii walioutoa ulilingana na neno la Mungu. Haukupigana na neno la Mungu mahali popote katika biblia. Mwamini anaweza kuutambua unabii kwa kutumia neno la Mungu. Lakini ni lazima kwanza ayafahamu maneno ya Mungu na kuyahifadhi moyoni.
Wakolosai 3:16
"Na neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote…” Mtu akiwa na maneno ya Mungu kwa wingi moyoni anaweza kuyapima mambo yote ya Kiroho.
 
ELLEN WHITE NINABII KWAVIGEZO VIFUATAVYO:-

Mimi siyo mjinga wa kuliwa hela zangu kirahisi na watu aina ya Mwamposa. Mimi naishi kwa kupambana. Imagine hata huko RC kwenyewe ambako nilikaribia kuwa Kasisi wao miaka hiyo, huwa naonekana kwa msimu.
 
Back
Top Bottom