jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
🤣🤣🤣
Nilisikia kwa sheikh mmoja kuwa ukifa ukiwa Muislamu na ukaenda mbinguni basi vinywaji ni vinne: maji, asali, maziwa na mvinyo. Ukinywa mvinyo ukalewa unaanza kupaa angani kama ndege (the same feeling wanapataga mateja). Na ikitokea ukaanguka basi utajikuta umeangukia kwa binti bikra unaanza mizagamuano. Ila ukinywa tu pombe hapa duniani huko mbinguni hamna share yako..
Dini kama isidingo