sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Mimi sijipakulii minyama ila huyo mwanamke atakuwa kapata bahati sana Mimi sio mlevi sana, naheshimu mawazo ya watu, sikasiriki ovyo najitambua mno, simyenyekei mtu kisa ana pesa Wala mamlaka
Naamini kwenye ukweli hata kama Tanzania nzima itasema uongo sintoungana nayo .
Mungu anipe pesa za kujikimu Mimi na mke ajae maana niliapa sintoingia kwenye mahusiano Hadi niweze kuhudumia mke na mtoto hata kama mke atakuwa na kazi
Sifuati mkumbo nikitaka kuoa nitaoa yeyote NITAKAEmuona anaendana na Mimi bila kujali ni single mother, alikuwa anajiuza,nk
Sitakuja kuoa mwanamke mwenye roho mbaya maana Mimi Sina roho mbaya Mungu aniepushe na mwanamke mshirikina