Sijisifii ila mwanamke nitakayemuoa atakuwa amepata bahati tu

Sijisifii ila mwanamke nitakayemuoa atakuwa amepata bahati tu

Si kama unavyodhani ,mwanamke ukiwa perfect lazima akuchangamshe wewe kwa matukio.

Kuna mwanamme mmoja aliachwa kisa alikuwa perfect kila kitu.
Sasa kumi na Moja upo home.
Unapenda kununua groceries /Hautaki sema unaenda sokoni.

Unajali familia yako , Una make sure Wamekula siyo kuleta tuu sometimes mpaka kuandaa chakula esp Kwa mwanao/wanao.

Hupendi conflicts, Una diplomatic way of solving problems , Hadi jamii Inakuheshimu for that , ..
Unakuta mke kidudu mtu , korofi , haambiliki .. Mambo million goddamn
 
Back
Top Bottom