Sijisifii ila mwanamke nitakayemuoa atakuwa amepata bahati tu

Mimi sijipakulii minyama ila uyo mwanamke atakuwa kapata bahati sana Mimi sio mlevi sana, naheshimu mawazo ya watu ,sikasiriki ovyo najitambua mno ,simyenyekei mtu kisa ana pesa Wala mamlaka

Naamini kwenye ukweli ata kama Tanzania nzima itasema uongo sinto ungana nayo .

Mungu anipe pesa za kujikimu Mimi na mke ajae maana niliapa sintoingia kwenye mahusiano Hadi niweze kuhudumia mke na mtoto ata kama mke atakuwa na kazi

Sifuati mkumbo nikitaka kuoa nitaoa yeyote NITAKAE muona anaendana na Mimi bila kujali ni single mother, alikuwa anajiuza,nk

Sitakuja kuoa mwanamke mwenye roho mbaya maana Mimi Sina roho mbaya Mungu aniepushe na mwanamke mshirikina
Sema umepoa duh 😁😁😁
 
Unaomba ajira mkuu?

Hizo sifa zote ulizojieleza kukuhusu zitasemwa na huyo mwanamke. Kwa sasa endelea kuweka ulimbo ndege anase
 
Back
Top Bottom