Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Huu mfano ni tofauti kabisa na bandiko hili...Wazazi wangapi wa kitanzania wanaowaambia watoto wao wa kike wavumilie ndoa zenye manyanyaso hadi mabinti wao wanapata vilema na wengine vifo kisa kusisitizwa na wazazi kuvumilia upuuzi? Nimekupa tu mfano mdogo kukuonyesha kwamba baadhi ya wazazi wanakosea sana. Mabadiliko yanahitajika.
Unalalamikia aina ya wazazi wako..nimekuambia kama wenyewe wameshindwa jisimamia maisha yao tu..wewe ulitaka wakaibe waje kukupush wewe?mimi nipewe msaada?? wapi nimeomba msaada wao? Are you sure umesoma uzi wangu ukaelewa?
Mungu habadiliki alishasema WAHESHIMU BABA YAKO NA MAMA YAKO! Kama huwaheshimu hao upendo wako kwa Mungu ni wa kinafikiYaani wewe maisha yako yatakua ni fumbo hadi mwisho wa dahari ...aisee ..uwe unasoma hata bible/quoran walau kujua wako ni nani hapa duniani! Hadi nasismka kusoma unavyoandika hapa...baba hana nyumba ni sawa, ubadhani babako anapenda kuishi kwa mamake? Unadhqni mamako anapenda kumwwita eti single mom?? Kwamba waloolewa wote wamefanikiwa yaani wewe utaishi na hii laana hadi kabiurini...TUBU😏
Hauko mbali na huu uzi. Mimi nimekulia kwenye familia maskini lakini wazazi wangu ni mashujaa wangu kwasababu hawakukimbia majukumu. Baba yangu alikuwa hanipi hela ila ni mtu alikuwa ananijaza matumaini makubwa sana ya maisha. Hadi nikiwa chuo alikuwa ananifuatilia kwa karibu sana. Nimeanza kazi akaniambia mwanangu jijenge kwanza pia usikimbilie kuoa. Sasa huyu dogo miaka 17 tu kaanza kusumbuliwa huku hata kazi aliyo nayo haijakaa sawa kwanini nisimtetee?Huu mfano ni tofauti kabisa na bandiko hili...
Ndo maana me hushangaa mbona mimi najikakamua kuelezea ila watu wanakuja na maoni ya juu juu mno, Mkuu huu uzi nina uhakika hujauelewa hata kidogo umesoma kichwa cha habari ukaja ku-comment?.... hivi unaelewa situation ya kuamua kubeba madhaifu na shida zote ambazo ni sababu ya wengine pengine unaamua upambane mwenyewe bila msaada wa yoyote alafu still wao wanakuvunja moyo kwa kukupa challenges na mitihani ya kukuumiza kichwa... Unajua inauma kiasi gani?Unalalamikia aina ya wazazi wako..nimekuambia kama wenyewe wameshindwa jisimamia maisha yao tu..wewe ulitaka wakaibe waje kukupush wewe?
Asee baba muache tu kama alivyo. Kama walivyo wazazi wako yeye ni pesa mbele....humpi pesa hana muda na wewe. ..na ana hela za kutosha sana tu. Na ukimpatia atasema ndogo na kuidharau. Acha tu usione watu wako kimya kila mtu Ana yake. Sema mimi nimeamua kuwa mkimya.How about your dad?
why baba? alikufanyia nini hadi unasema "lina roho mbaya"We kaka umeniliza nikikumbuka sacrifices alizofanya mama yangu niwe mimi na niweze kusimama mwenyewe leo hii bila yeye....
Mama yangu sijui niandikeje lakini basi Mungu alijua ipo siku utaniacha peke yangu na hawa ndugu na libaba lenye roho mbaya.
Hana hisia na binadamu yeyote au damu yake...labda for women tu.why baba? alikufanyia nini hadi unasema "lina roho mbaya"
Kama hivyo ndivyo....Ndo maana me hushangaa mbona mimi najikakamua kuelezea ila watu wanakuja na maoni ya juu juu mno, Mkuu huu uzi nina uhakika hujauelewa hata kidogo umesoma kichwa cha habari ukaja ku-comment?.... hivi unaelewa situation ya kuamua kubeba madhaifu na shida zote ambazo ni sababu ya wengine pengine unaamua upambane mwenyewe bila msaada wa yoyote alafu still wao wanakuvunja moyo kwa kukupa challenges na mitihani ya kukuumiza kichwa... Unajua inauma kiasi gani?
Sasa mbona mimi nimeandika uzi lakini kuna watu na wanapinga na kuoneaha kwamba mimi nimekosea na sipaswi kuongelea wazazi wangu mabaya yao. Ni kwamba nakosea kusema sijivunii kuwa na aina ya wazazi nilionao ikiwa kuna vitu kadha wa kadha sijaridhishwa nao?Asee baba muache tu kama alivyo. Kama walivyo wazazi wako yeye ni pesa mbele....humpi pesa hana muda na wewe. ..na ana hela za kutosha sana tu.
Kusomeshwa ni wajibu wa mzazi kwa mtoto wala si jambo lenye kuhitaji shukrani.Shukuru MUNGU KUSOMESHWA MPAKA HAPO FOM FOO
Asee wazazi wenye roho mbaya wapo sana tu. Na pia wazazi wasiojali lolote wapo pia.Sasa mbona mimi nimeandika uzi lakini kuna watu na wanapinga na kuoneaha kwamba mimi nimekosea na sipaswi kuongelea wazazi wangu mabaya yao. Ni kwamba nakosea kusema sijivunii kuwa na aina ya wazazi nilionao ikiwa kuna vitu kadha wa kadha sijaridhishwa nao?
TrueHakuna anayetaka kuwa masikini,
Pilika za kuyatafuta maisha Huwa zinachangamoto sana, uhai ndiyo fanikio la kwanza katika mapambano na mengine ni nyongeza.
Nakubaliana na wewe kabisa. Kama vipi bora usiwazae. Kwani walikuomba uwazae ili uwatese. Asee Mungu atuwezeshe na atupe hekima tupiganie uzao wetuKusomeshwa ni wajibu wa mzazi kwa mtoto wala si jambo lenye kuhitaji shukrani.
Binafsi mzazi mzembe na mjinga anaye tumia kigezo cha "uzazi na laana" kama defence mechanism ya kujilinda na kunyanyasa watoto namuita mwehu na mjinga...
Imagine,Kuku akitotoa vifaranga vyake huangaika kuvitunza, kuvilisha na kuwatunza Halafu unakutana na Binadamu mzima na akili zake ana jiita mzazi huku ana kwepa majukumu..!!!!???? Ni ujinga na uwehu wa hali ya juu...
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mzazi wako ni mjinga ?Kusomeshwa ni wajibu wa mzazi kwa mtoto wala si jambo lenye kuhitaji shukrani.
Binafsi mzazi mzembe na mjinga anaye tumia kigezo cha "uzazi na laana" kama defence mechanism ya kujilinda na kunyanyasa watoto namuita mwehu na mjinga...
Imagine,Kuku akitotoa vifaranga vyake huangaika kuvitunza, kuvilisha na kuwatunza Halafu unakutana na Binadamu mzima na akili zake ana jiita mzazi huku ana kwepa majukumu..!!!!???? Ni ujinga na uwehu wa hali ya juu...
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mkuu unaongelea umasikini kama vile ndo mapangufu pekee uliyoyaona hapo... Sijawahi kulaumu kuzaliwa na wazazi masikini ila nimeongelea caring ya mzazi kwa mtoto, me nimekuwa na nimeona watoto wa wengine wenye wazazi wanavyokuwa treated hata kama hawajaaliwa utajiri kuna hope wanakuwa wanamfariji mtoto wao, au hata ushauri wa njia za kupita ili afikie kufanikiwa ila mimi sivyo mkuu, mimi hata nikifa muda huu wazazi wangu nina uhakika watakuwa wa mwishomwisho kupata taarifa zangu maana hawajali hata kwa kuulizia naishije huku nilipoKama hivyo ndivyo....
Basi kila mmoja angepewa nafasi ya kuchagua wazazi kabla hajazaliwa, I'm sure hakuna masikini ambae angekua na mtoto..🤓