Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,329
- 2,169
Pole Kwa masaibu, mimi ningemuokoa mzazi wangu, naomba wanaokubalina na mimi wanipe likeNikikuta simba anataka kumla baba angu nitamsaidia simba amle Vizuri. Basi tu siwezi kumbadirisha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Kwa masaibu, mimi ningemuokoa mzazi wangu, naomba wanaokubalina na mimi wanipe likeNikikuta simba anataka kumla baba angu nitamsaidia simba amle Vizuri. Basi tu siwezi kumbadirisha!
Imagine unakosa cha kutuma mtu anakwambia eti me nahesabu sina mtoto. Ndo mana wa Nigeria wakiondoka kwao huwa hawawatafuti ndugu na wazazi wao hadi wahakikishe wametoboa maana hizi ishu umeweka ka 10 kesho mara paaap baba anakataka husogei kamweMkuu unaongelea umasikini kama vile ndo mapangufu pekee uliyoyaona hapo... Sijawahi kulaumu kuzaliwa na wazazi masikini ila nimeongelea caring ya mzazi kwa mtoto, me nimekuwa na nimeona watoto wa wengine wenye wazazi wanavyokuwa treated hata kama hawajaaliwa utajiri kuna hope wanakuwa wanamfariji mtoto wao, au hata ushauri wa njia za kupita ili afikie kufanikiwa ila mimi sivyo mkuu, mimi hata nikifa muda huu wazazi wangu nina uhakika watakuwa wa mwishomwisho kupata taarifa zangu maana hawajali hata kwa kuulizia naishije huku nilipo
May be ingetakiwe ufe stage ya mimbaMkuu unaongelea umasikini kama vile ndo mapangufu pekee uliyoyaona hapo... Sijawahi kulaumu kuzaliwa na wazazi masikini ila nimeongelea caring ya mzazi kwa mtoto, me nimekuwa na nimeona watoto wa wengine wenye wazazi wanavyokuwa treated hata kama hawajaaliwa utajiri kuna hope wanakuwa wanamfariji mtoto wao, au hata ushauri wa njia za kupita ili afikie kufanikiwa ila mimi sivyo mkuu, mimi hata nikifa muda huu wazazi wangu nina uhakika watakuwa wa mwishomwisho kupata taarifa zangu maana hawajali hata kwa kuulizia naishije huku nilipo
Kauli za namna hii kama hii ya kwako ndio zinalea ujinga na upumbavu.Usimtukane wala kumtanzaga mama yako (eti singo mama).
Usimseme vibaya baba yako kwasababu bado anaishi kwa wazazi wake na hajafanikiwa kutoboa maisha.
Hao bado ni wazazi wako (haijalishi hata kama wangelikua vichaa)
Japo ananijeruhi bado nitamuokoa kwakweli kama mwwnadamu mwingine. Madogo kwq maza mwingine wanamuombea dingi kifoPole Kwa masaibu, mimi ningemuokoa mzazi wangu, naomba wanaokubalina na mimi wanipe like
Ulilelewa vituo vya watoto ??dah! mkuu maisha mbona ni mapana sana kuliko kunyonya? okay nikuulize wewe unajuaje kwamba nilinyonya? wewe ni mama yangu?
Pole sana, ebu pambana kwa bidii na muombe Mungu akujaalie neema na mafanikio. Na wazazi wako waishi miaka mingi ili utakapo fanikiwa wajionee alafu uwakomeshe kwa kulipiza kisasi...teh🤣Mkuu unaongelea umasikini kama vile ndo mapangufu pekee uliyoyaona hapo... Sijawahi kulaumu kuzaliwa na wazazi masikini ila nimeongelea caring ya mzazi kwa mtoto, me nimekuwa na nimeona watoto wa wengine wenye wazazi wanavyokuwa treated hata kama hawajaaliwa utajiri kuna hope wanakuwa wanamfariji mtoto wao, au hata ushauri wa njia za kupita ili afikie kufanikiwa ila mimi sivyo mkuu, mimi hata nikifa muda huu wazazi wangu nina uhakika watakuwa wa mwishomwisho kupata taarifa zangu maana hawajali hata kwa kuulizia naishije huku nilipo
Ingekuwa sawa kama ni mipango yao ila kwa kuwa ninaishi basi ni mipango ya Mungu thats why nayakata mawimbi ndo maana siogopi kusema ukweli kwamba kuna vitu vingi nimspunjwa na aina hii ya wazaziMay be ingetakiwe ufe stage ya mimba
Hakuna baraka wala laana za wazazi wazembe wakwepa majukumu..Samehe sahau..
Saidia wazee wako utapata baraka.
Ni kama vile umeshafanya maamuzi Tyr, endelea kuwatukana tu , tena ingefaa utafute kipindi Kwenye tv na radio uwatukane vzrKauli za namna hii kama hii ya kwako ndio zinalea ujinga na upumbavu.
Mzazi ni mtu pia na anaweza kuwa mjinga na Mpumbavu vilevile.
Maswala ya mzazi mzembe na mjinga kutumia kigezo cha "Uzazi na laana" kama defence mechanisms (silaha za kujilinda) ili asisemwe vibaya ni UJINGA na UPUMBAVU....
Imani za kidini zinalea ujinga na upumbavu hasa kwenye kuwatetea wazazi wezembe,wakwepa majukumu kwa kigezo eti ni wazazi.... Even parents can be Fools....
Over!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mama yako alikosea angekutupa chooniIngekuwa sawa kama ni mipango yao ila kwa kuwa ninaishi basi ni mipango ya Mungu thats why nayakata mawimbi ndo maana siogopi kusema ukweli kwamba kuna vitu vingi nimspunjwa na aina hii ya wazazi
kulipiza kisasi!!! Nani kazungumzia hayo? we Ucsi men una shida kwa akili sio bure maana toka comment yako ya kwanza sikuelewi au wewe ni aina ya hawa wazazi mkuu jitahidi ubadilike maana soon watoto wako watakulaumu sana.Pole sana, ebu pambana kwa bidii na muombe Mungu akujaalie neema na mafanikio. Na wazazi wako waishi miaka mingi ili utakapo fanikiwa wajionee alafu uwakomeshe kwa kulipiza kisasi...teh🤣
Atheism in action,Hakuna baraka wala laana za wazazi wazembe wakwepa majukumu..
Dini Zimeharibu Akili zenu na kuwapa Hofu hadi kwenye kutetea ujinga na uzembe....
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Dini zinalea ujinga na kutetea upumbavu.( وَقَضَىٰ رَبُّكَ أَلَّا تَعْبُدُوا إِلَّا إِيَّاهُ وَبِالْوَالِدَيْنِ إِحْسَانًا ۚ إِمَّا يَبْلُغَنَّ عِندَكَ الْكِبَرَ أَحَدُهُمَا أَوْ كِلَاهُمَا فَلَا تَقُل لَّهُمَا أُفٍّ وَلَا تَنْهَرْهُمَا وَقُل لَّهُمَا قَوْلًا كَرِيمًا )
الإسراء (23) Al-Israa
Na Mola wako Mlezi ameamrisha kuwa msimuabudu yeyote ila Yeye tu, na wazazi wawili muwatendee wema. Mmoja wao akifikia uzee, naye yuko kwako, au wote wawili, basi usimwambie hata: Ah! Wala usiwakemee. Na sema nao kwa msemo wa hishima.
( وَاخْفِضْ لَهُمَا جَنَاحَ الذُّلِّ مِنَ الرَّحْمَةِ وَقُل رَّبِّ ارْحَمْهُمَا كَمَا رَبَّيَانِي صَغِيرًا )
الإسراء (24) Al-Israa
Na uwainamishie bawa la unyenyekevu kwa kuwaonea huruma. Na useme: Mola wangu Mlezi! Warehemu kama walivyo nilea utotoni.
Kma huelewi kiarabu ata icho kiswahili kinakutosha kuelewa
Ushimen ni mjinga?kulipiza kisasi!!! Nani kazungumzia hayo? we Uchi men una shida kwa akili sio bure maana toka comment yako ya kwanza sikuelewi au wewe ni aina ya hawa wazazi mkuu jitahidi ubadilike maana soon watoto wako watakulaumu sana.
Muombe Mungu akuepushe usije pta mtoto NundaDini zinalea ujinga na kutetea upumbavu.
Mzazi ni binadamu na mtu kama wengine Hivyo anaweza kuwa mjinga pia...
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Fanya maamuzi magumu, watafutie hit squad wawaue upate amani ya moyoalafu unakuta kuna mtu anatetea eti mzazi ni mzazi dah! hizi akili