Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Ukiacha ujinga wa mzazi, mzazi pia anaweza akawa taariha ama kichaa kabisa, lakini hii bado haimpi mtoto another option ya kurudisha wakati nyuma ili awe na mzazi anaefaa.Sema huna hoja! Sio unabadilisha mada Tuanze kudiscuss Atheist na Theist...[emoji23]
Back to the topic...!!
Nakwambia hivi mzazi naye ni mtu na binadamu kama wengine Hivyo anaweza kuwa mjinga vilevile.
Mtu mjinga akiwa mzazi HAIFANYI ujinga wake kuisha Akilini mwake.
U gar it?????
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kitu pekee ninacho kijua nikwamba nijukumu la mzazi kutambua wajibu wake kwa mtoto wake.... basi kama mzazi ni mpumbavu kama unavyosema, then hii haimfanyi mtoto awe na mamlaka ya kumtukana mzazi wake kwamba ni moumbavu.