Kusomeshwa ni wajibu wa mzazi kwa mtoto wala si jambo lenye kuhitaji shukrani.
Binafsi mzazi mzembe na mjinga anaye tumia kigezo cha "uzazi na laana" kama defence mechanism ya kujilinda na kunyanyasa watoto namuita mwehu na mjinga...
Imagine,Kuku akitotoa vifaranga vyake huangaika kuvitunza, kuvilisha na kuwatunza Halafu unakutana na Binadamu mzima na akili zake ana jiita mzazi huku ana kwepa majukumu..!!!!???? Ni ujinga na uwehu wa hali ya juu...
Sent from my Infinix X657B using
JamiiForums mobile app