Sijivunii wazazi wangu

Imagine unakosa cha kutuma mtu anakwambia eti me nahesabu sina mtoto. Ndo mana wa Nigeria wakiondoka kwao huwa hawawatafuti ndugu na wazazi wao hadi wahakikishe wametoboa maana hizi ishu umeweka ka 10 kesho mara paaap baba anakataka husogei kamwe
 
May be ingetakiwe ufe stage ya mimba
 
Usimtukane wala kumtanzaga mama yako (eti singo mama).

Usimseme vibaya baba yako kwasababu bado anaishi kwa wazazi wake na hajafanikiwa kutoboa maisha.
Hao bado ni wazazi wako (haijalishi hata kama wangelikua vichaa)
Kauli za namna hii kama hii ya kwako ndio zinalea ujinga na upumbavu.

Mzazi ni mtu pia na anaweza kuwa mjinga na Mpumbavu vilevile.

Maswala ya mzazi mzembe na mjinga kutumia kigezo cha "Uzazi na laana" kama defence mechanisms (silaha za kujilinda) ili asisemwe vibaya ni UJINGA na UPUMBAVU....

Imani za kidini zinalea ujinga na upumbavu hasa kwenye kuwatetea wazazi wezembe,wakwepa majukumu kwa kigezo eti ni wazazi.... Even parents can be Fools....

Over!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Pole Kwa masaibu, mimi ningemuokoa mzazi wangu, naomba wanaokubalina na mimi wanipe like
Japo ananijeruhi bado nitamuokoa kwakweli kama mwwnadamu mwingine. Madogo kwq maza mwingine wanamuombea dingi kifo
 
Pole sana, ebu pambana kwa bidii na muombe Mungu akujaalie neema na mafanikio. Na wazazi wako waishi miaka mingi ili utakapo fanikiwa wajionee alafu uwakomeshe kwa kulipiza kisasi...teh🤣
 
May be ingetakiwe ufe stage ya mimba
Ingekuwa sawa kama ni mipango yao ila kwa kuwa ninaishi basi ni mipango ya Mungu thats why nayakata mawimbi ndo maana siogopi kusema ukweli kwamba kuna vitu vingi nimspunjwa na aina hii ya wazazi
 
Ni kama vile umeshafanya maamuzi Tyr, endelea kuwatukana tu , tena ingefaa utafute kipindi Kwenye tv na radio uwatukane vzr
 
Ingekuwa sawa kama ni mipango yao ila kwa kuwa ninaishi basi ni mipango ya Mungu thats why nayakata mawimbi ndo maana siogopi kusema ukweli kwamba kuna vitu vingi nimspunjwa na aina hii ya wazazi
Mama yako alikosea angekutupa chooni
 
Pole sana, ebu pambana kwa bidii na muombe Mungu akujaalie neema na mafanikio. Na wazazi wako waishi miaka mingi ili utakapo fanikiwa wajionee alafu uwakomeshe kwa kulipiza kisasi...teh🤣
kulipiza kisasi!!! Nani kazungumzia hayo? we Ucsi men una shida kwa akili sio bure maana toka comment yako ya kwanza sikuelewi au wewe ni aina ya hawa wazazi mkuu jitahidi ubadilike maana soon watoto wako watakulaumu sana.
 
Dini zinalea ujinga na kutetea upumbavu.

Mzazi ni binadamu na mtu kama wengine Hivyo anaweza kuwa mjinga pia...

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
kulipiza kisasi!!! Nani kazungumzia hayo? we Uchi men una shida kwa akili sio bure maana toka comment yako ya kwanza sikuelewi au wewe ni aina ya hawa wazazi mkuu jitahidi ubadilike maana soon watoto wako watakulaumu sana.
Ushimen ni mjinga?
 
Alafu inakukuta humjui, unampa kazi alafu unamzulumu!!![emoji22][emoji848] Utasikia tu amuua mwenzie kisa ëfú3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…