Heshima na kutokujivunia ni vitu viwili tofauti, Nawaheshimu kwa kuwa sina jinsi ndo washakuwa ila haiwezi kufanya nikajivunia kwa kuwa sina cha kujivunia.Kichwa cha uzi wako “hujivunii wazazi wako” Ndo washakua wazazi wako ingekua hawakupendi pale ulipozaliwa tu wangekutupa au mimba yako ingetolewa.
Waheshimu baba na mama upate heri na miaka mingi duniani, licha ya mapungufu wakitokua nayo lakini kuja kuanika maisha yao wanayoishi hakutaweza kukupa amani ya moyo zaidi ya kuendelea kuteseka moyoni.
Acha kulalamika na kuona lilikua jukumu la wazazi kukufikisha mahali fulani kimaisha, uko mzima na hauna ulemavu pambana utafanikiwa.
sure mkuu.Ukiona yanazidi,badilisha no uishi kivyako mkuu,kama ni wazazi wako watakumiss tu.watu hawawezi kukuelewa sababu wanakushauri Kwa kuangalia status zao na wazazi wao.kuna wazazi mi nawajua wako hvyo mtoto hasipompa pesa utamka maneno yote ya laana kama njia ya kuforce.Na mara zote wazazi wa hvyo Huwa si wale waliokuhangaikia
Zingatia namba 3 dogo5. Wewe ni matokeo ya starehe ya baba na mama yako.
4. Unahasira na vinyongo kwa wazazi wako.
3. Umasikini wa baba na mama yako haukuzuwii wewe kufanikiwa.
2. Usiingilie ugomvi na tofauti iliyopo kati ya baba na mama yako.
1. Dunia haitaki makasiriko, na hakuna aliyewahi kufanikiwa ama kufanya maamuzi sahihi akiwa mwenye hasira.
Mwisho nakushauri tu kwamba usiwalaumu wazazi wako na unapaswa kuwashukuru kwa kufanikiwa kukufukisha walau kidato cha nne.
Wapo wengi walio zaliwa na kutupwa.
Wapo walio lelewa na kutumikishwa.
Wapo walio someshwa hadi darasa la saba pekee.
Lakini wengi walitoboa na leo hawalalamiki tena hawana chuki kwa wazazi wao zaidi ya kumsgukuru Mungu na kuwa nguzo za mofano kwa wazazi wao.
Usimtukane wala kumtanzaga mama yako (eti singo mama).
Usimseme vibaya baba yako kwasababu bado anaishi kwa wazazi wake na hajafanikiwa kutoboa maisha.
Hao bado ni wazazi wako (haijalishi hata kama wangelikua vichaa)
Umeruthishwa uoga. Baba akiwa mpumbavu yakupasa useme ni mpumbavu.Usimtukane wala kumtanzaga mama yako (eti singo mama).
Usimseme vibaya baba yako kwasababu bado anaishi kwa wazazi wake na hajafanikiwa kutoboa maisha.
Hao bado ni wazazi wako (haijalishi hata kama wangelikua vichaa)
Uongo mkubwa huu, wazazi wasiojua wajibu wao kwa watoto watakuwaje miungu ya mtoto/watoto?Amesahau kuwa hao ndyo miungu wake wa dunian
HESHIMU Baba na mama yako (waliokuzaa) upate kuishi miaka mingi na heri duniani! Mapungufu yao hayabadili ukweli kuwa walikuzaa, bila wao kukutana usingetype huu
Upumbavu wa wazazi wako unapaswa ujifunze kuusitiri.Umeruthishwa uoga. Baba akiwa mpumbavu yakupasa useme ni mpumbavu.