Sijui alipatwa na nini kilichopelekea kujiua!

Hakika nakuambia mke wake atakuwa na jibu, lkn hatawashirikisha kamwe
 
Kujiua au kuua mtu ni abnormal experience. Inahusiana Sana na magonjwa ya akili kama depression na PSYCHOSIS. Haya magonjwa ni kawaida Kwa vijana wa age 20s. Na Mara nyingi mtu aliejiua, aliwahi kuwa na mawazo hayo kabla. Inawezekan kipindi hana ajira alifikiria Hilo. Maisha ya familia yameshindwa kumpa furaha au yanakula kipato ambach alipanga atakitumia kula Bata. Hakupata muda wa kulila Bata aliyopanga akiajiriwa
 
Halafu anakuja mpumbafu flani anasema pombe na gomba inaondoa mawazo
 
Hakuna watu miserable na lonely kama watu walio katika ndoa ambazo partners wao ni toxic au hawasomani na kuelewana
Hilo ni balaa sasa sijui kama tutaoa...aisee
 
Tembo siyo chai.
Sio kila unachokiona ni chai, tafakari kwanza ingawa wanasema muache mpumbavu aongee tujue level ya upumbavu wake ila jitafakari kila unachokiona sio chai mengine maziwa tena fresh sio mtindi
 
Stress tu... unakuta miaka nane aliyokua anafight bila ajira alishajipanga freshi na alikua anapiga hela zake mtaani bila masimango mara paaap kapata ajira af alichokikuta kwenye ajira ni tofauti na matamanio yake yooote aliyokua akiyategemea
 
Lazima mkewe anajua
 
Smart,mchangamfu!

Nimekumbuka nikiwa chuo nilivokuwa smart lakini Sina furaha ya KWELI!!

UKWELI ni kwamba tuna hustle Sana kutafuta Maisha KWA Muda mrefu!unasoma hadi chuo una matumaini makubwa unapata kazi unaona inamaana zile juhudi zote kazi yenyewe NDIO hii!!?

Ina Maana Maisha niliohangaikia ndio haya!?

Hayaridhishi unajuta Sana kuhangaika kote kumbe Bure!

Halafu unajikuta unaoa mwanamke Sio type yako aiseh!unaishi coz una watoto nae!Ndugu nao wanakuangalia KWA KILA kitu!aiseh you are gone with stress!!

UKWELI NI KWAMBA MTOTO AKIKOSEWA KULELEWA TU WAKATI WA MAKUZI AMESHAKUFA TAYARI JAPO ANAPUMUA!!

WRITTEN!
 
Hapo kwenye malezi na makuzi mkuu pajazilizie nyama, natamani nisikosee hapo kwa watoto wangu.
 
hata mm siku siyo nyingi nitafanya hivi
Nani atatuletea mrejesho sasa, jiue kama umepoteza uanaume wako ila kama bado upo unafaida, yani kama huna cha kupoteza basi vuka boda katafute maisha ughaibuni uko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…