Mbassa jr
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 1,234
- 3,213
Aiseenatamani ningekuwa mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseenatamani ningekuwa mimi
Umeongea kitu kizito, nimeogopa sanaa,Duuh ni roho za kipepo hakuna cha afya ya akili wala nini. Huyo aliemfanya akose ajira kwa miaka yote hyo eidha alijisahau au dawa ziliisha nguvu hatimae akapata ajira,kuona hivyo akamtupia jini kujiua likamfanya ajiue.... naandika huku naogopa
Kemea isee,natamani ningekuwa mimi
Acha kabisa mkuu, tunakupenda na kukuthamini, ondoa ayo mawazo kabisa kwaajili yetu, inaumiza sana kifo Cha namna hiihata mm siku siyo nyingi nitafanya hivi
Sio mke tuu, na watoto wawili wadogo,Loneliness wakati anae mke? Hivi si mtu hua anaoa wa kumpa faraja ama inakuaje?
Hellow😀Jamani
Manka hata wewe unaamini mambo ya kishirikina🥺Duuh ni roho za kipepo hakuna cha afya ya akili wala nini. Huyo aliemfanya akose ajira kwa miaka yote hyo eidha alijisahau au dawa ziliisha nguvu hatimae akapata ajira,kuona hivyo akamtupia jini kujiua likamfanya ajiue.... naandika huku naogopa
Tatizo ni kubwa, mamlaka husika inatakiwa kuchukua hatua1. Uchawi
2. Ugonjwa wa akili utafiti unasema tanzania ni watu ml 7 wenye matatizo ya akili ndio maana vifo na visa haviishi
NdiooTatizo ni kubwa, mamlaka husika inatakiwa kuchukua hatua
Huwezi kuzuia aina fulani ya Mawazo mkuu..ila unaweza kuyaacha yapite bila ku engage with them.Kila siku huwa namuomba Mungu nisiwe na mawazo ya kujiua
Wtakuambia hakuna mambo ya pepo wala nguvu za giza..Duuh ni roho za kipepo hakuna cha afya ya akili wala nini. Huyo aliemfanya akose ajira kwa miaka yote hyo eidha alijisahau au dawa ziliisha nguvu hatimae akapata ajira,kuona hivyo akamtupia jini kujiua likamfanya ajiue.... naandika huku naogopa
Kwamba wahehe tunawaza kujiua muda wote!?Ni mhehe? Samahani lakin
Buriani Wakili Msomi MACRON.hata mm siku siyo nyingi nitafanya hivi
Tuma picha ya afya ya akili tupate mwongozo.Alikua hana afya ya akili...