nra2303
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 2,975
- 2,547
Hata kama tuna dhambi tusiache kumuomba Mungu heri na amani ya moyo na afya ya akili! Mashindano kwy maisha ni mengi sana,depression inabeba kijiji siku hizi achilia mbali mambo ya mapenzi.
Dont expect anything from anyone na usijilinganishe na mtu yeyote kimaendeleo wala usione umechelewa kila mtu yupo kwy time zone yakufanikiwa.
Dont expect anything from anyone na usijilinganishe na mtu yeyote kimaendeleo wala usione umechelewa kila mtu yupo kwy time zone yakufanikiwa.