Sijui alipatwa na nini kilichopelekea kujiua!

Sijui alipatwa na nini kilichopelekea kujiua!

Duuh ni roho za kipepo hakuna cha afya ya akili wala nini. Huyo aliemfanya akose ajira kwa miaka yote hyo eidha alijisahau au dawa ziliisha nguvu hatimae akapata ajira,kuona hivyo akamtupia jini kujiua likamfanya ajiue.... naandika huku naogopa
Umeongea kitu kizito, nimeogopa sanaa,
Haya mambo yanawezekana eeh?
 
1. Uchawi
2. Ugonjwa wa akili utafiti unasema tanzania ni watu ml 7 wenye matatizo ya akili ndio maana vifo na visa haviishi
 
Loneliness wakati anae mke? Hivi si mtu hua anaoa wa kumpa faraja ama inakuaje?
Sio mke tuu, na watoto wawili wadogo,
Hajamuonea huruma mama yake mjane mbichi aliyefiwa na mmewe miaka miwili iliyopita alafu mbaya zaidi yeye ni first born, very sad, kama kweli ni loneliness alikua mbinafsi.
 
Duuh ni roho za kipepo hakuna cha afya ya akili wala nini. Huyo aliemfanya akose ajira kwa miaka yote hyo eidha alijisahau au dawa ziliisha nguvu hatimae akapata ajira,kuona hivyo akamtupia jini kujiua likamfanya ajiue.... naandika huku naogopa
Manka hata wewe unaamini mambo ya kishirikina🥺
 
Ummy mwalim akisema sio vichaa tu wanaotakiwa kupelekwa milemba muwe mnuelewa ila nimeshangaa umu kuna watu wamekuja na nyuzi za kumjejea
 
Alipoanza tu kusema atajiua angepata mshauri wa nguvu angebadili Nia yake. Inasikitisha, ila hilo ni pepo la kukemewa kwa nguvu. Tuchunguze kwenye ukoo wake ukoje, Kuna Pepo la kujiuwa?
 
Duuh ni roho za kipepo hakuna cha afya ya akili wala nini. Huyo aliemfanya akose ajira kwa miaka yote hyo eidha alijisahau au dawa ziliisha nguvu hatimae akapata ajira,kuona hivyo akamtupia jini kujiua likamfanya ajiue.... naandika huku naogopa
Wtakuambia hakuna mambo ya pepo wala nguvu za giza..
Ila this is really a demonic move hakuna cha afya ya akili wala nin.shida ya watu weusi tunatumia culture ya watu wa society A ku deal na watu kwenye society B ambao waonnao wana culture tofautiiii
 
Back
Top Bottom