othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Mzee wa uno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia asisahau kutumia TV hiyo kuweka clip za TL wakati anapiga dili na mabeberu na kuisaliti nchiHalima Mdee hana kazi kubwa ya kufanya, anachotakiwa kufanya ni kuchukua TV screen kubwa na kuweka video ya Gwajima akifufua mtu, kisha kuwauliza wapiga kura je mnamuunga mkono muongo na Tapeli huyu kuwa kiongozi wenu?
Watu watasema hapana!
Kisha anamwaga sera zake, anafunga mkutano na kusepa. Ushindi ni asubuhi na mapema tu!
Bado kule ile kashfa ya kurekodi clip ya pork. Huyu jamaa ni tapeli mkubwa mimi nashangaa CCM imeishiwa namna gani mpaka imeamua kumweka. Si bora wangempitishia hata yule mtoto wa Warioba!Ila Dkt. Magufuli na CCM yake Makao Makuu Dodoma wameona kuwa anafaa.
Wewe unaandika hivi ili kutetea kibarua chako ila sidhani kama kampeni za hivi zitafanikiwa. Mimi kama mmoja ya watu unaoamini kuwa hatuna akili timamu nakutaarifu kuwa tayari Gwajima na kura 79 za wajumbe na kura za mamia kadhaa wa kanisani Kwake mkononi. Hii ni kabla ya kampeni. Na hawa wote ndiyo kamati yake ya kampeni. Kwa ufupi namuona kama mshindi atakayeshinda mapema sana.Ninawashawishi waislamu wote wa Kawe na watu wote wenye akili timamu, wasimpigia kura hata moja Gwajima, tuone kama wataweza kumfanya ashinde kweli bila ya kura.
Kwa Mara ya kwanza watanzania wa jimbo la kawe, onyesheni uzalendo, ubinadamu, uungwana, umoja, kwa kumpinga huyu Gwajima aliye tapeli wa kiimani, anawatapeli masikini na anatumia mbinu za kishetani kujifanya ni muinjilist, viongozi wa Dini hawawi hivyo. Huyu ni mvunja ndoa, ni muongo, no mkabila.
Itakuwa somo kubwa sana, wananchi wa kawe wakimpinga kwa pamoja Gwajima. Hana lolote.
Say no to EVIL
Nimesoma kila mchangiaji. Gwajima byebye ndio umepoteza kila kitu na hayo mabanda yako hapo ubungo yatakosa hata mbwa wa kuja kunya hapo.
Ndugu yangu uliyoandika hapa yameniacha hoi. Kama kweli mtu kama wewe, ambaye kutokana na mchango wako, nimetokea kukuheshimu unasema kuwa ile clp ya ngono imetengenezwa basi sina la kusema. Mkuu ile clip siyo ya kutengeneza. Yule ni Gwajima mwenyewe kabisa na alikuwa anajirikodi mwenyewe. Huhitaji utaalam wowote kufikia hitimisho.Sioni tatizo la video hii...
Sijaona tusi hapo...
Mtu mliokubaliana jambo hadharani halafu akakiuka makubaliano hayo hadharani, umwiteje?
Ni mpuuzi, mnàfiki na mjinga kabisa na ikiwezekana awe mpumbavu kabisa....
Hizi ni sifa za mtu wa namna hiyo. Hafai mtu huyo vinginevyo autambue udhaifu wake huo na kutubu....
KWA UPANDE MWINGINE;
Mimi binafsi sina tatizo na Mch. Gwajima kwa kumshambulia Cardinal Pengo au tuhuma za wa watu kumchafua kumtengenezea picha ya ngono kwa kutumia technolojia ya photoshop....
Haya yote ni uongo tu. Sina shaka kabisa na ushiriki wake ktk hayo, kuwa ni uongo 100%...
Mimi nataka Mch. Gwajima ashindwe kwenye uchaguzi huo ili ASIWE MBUNGE KABISA kwa gharama yoyote ile ili abaki kwenye kazi ya WITO WAKE aliyoitiwa na Kristo Yesu ya:
å Utume wa kueneza Injili
å Uchungaji
å Ualimu wa Neno la Mungu
å Unabii
å Uinjilisti
Huko anakotaka kuingia na kazi anayotaka kwenda kuifanya (Uanasiasa 100%) siyo wito wake unless awe amezungumza na Mungu kwelikweli na kumruhusu kwenda huko kwa sbb labda Mungu anataka kutimiza kusudi fulani maalumu kwa wanadamu (Watanzania) kupitia yeye...
Bila shaka kwa Mungu hili linawezekana kabisa....
Lakini kama ni tamaa yake tu ya kujituma kutaka madaraka ya kidunia pasipo sauti ya Mungu, basi amebugi sana.....
Aidha mimi sisemi kuwa hawezi kushinda Ubunge (japo maombi yangu ni ASHINDWE lakini si mapenzi yangu ila ya Mungu ndiyo yanayotimizwa).....
Ni kwa sababu, Mungu aweza kumuacha akashinda na kupata kile moyo wake ukitakacho, lakini kile cha thamani alichopewa na Yesu Kristo, atakipoteza na ndiyo itakuwa mwisho wake....
Wapi ulisikia Msigwa akiota kugeuza Misikiti na Madrasa kuwa Makanisa?Kama walimpa Msigwa kwanini wasimpe Ngwajima? Kwani Msigwa ni mchungaji wa nguruwe? Ngwajima atashinda
Kumbe wewe shoga!!!!Kichapo Kwa halima Mdee shoga angu na Rafiki yangu kipo palepale
Hachomoki Kwa GWAJIMA
Na Wakatoliki wote wasimpigie kura Gwajima kwa matusi aliyomtukana Cardinal Pengo, na wote wasio Wasukuma wasimpigie kura Gwajima kwa kuanzisha vikundi vya kikabila mithili ya interahamweNinawashawishi waislamu wote wa Kawe na watu wote wenye akili timamu, wasimpigia kura hata moja Gwajima, tuone kama wataweza kumfanya ashinde kweli bila ya kura.
Kwa Mara ya kwanza watanzania wa jimbo la kawe, onyesheni uzalendo, ubinadamu, uungwana, umoja, kwa kumpinga huyu Gwajima aliye tapeli wa kiimani, anawatapeli masikini na anatumia mbinu za kishetani kujifanya ni muinjilist, viongozi wa Dini hawawi hivyo. Huyu ni mvunja ndoa, ni muongo, no mkabila.
Itakuwa somo kubwa sana, wananchi wa kawe wakimpinga kwa pamoja Gwajima. Hana lolote.
Say no to EVIL
mbunge ana mamlaka hayo,au hata majukumu ya mbunge huyajui?Waislamu hatumtaki gwajiboi kawe anampango wa kuufuta uislamu kwa kubadili madrasa kuwa sunday school.
Alimuonea sana Imma kummegea mke wake kinyamaNa ile video jamaa alosema ubunge ni cheo kidogo sana. Pia katika imani yetu ya Kikristo, nafasi ya Uchungaji tena Askofu, huwezi hata kutamani kazi ya siasa. Huwezi kabisa.
Huyu jamaa sijui anamtumikia Mungu yupi, mara kashfa za Flora Mbasha, mara madawa ya kulevya n.k
Kwani mch. Msigwa alikuwa akiongoza wakazi wa imani moja katika jimbo la Iringa mjini?. Kwa kawe mjiaandae kisaikolojia utafiti unaonyesha kuwa Gwanjima atashinda uchaguzi kwa zaidi ya asilimia 80.Ccm hapo wamebugi jimbo lenye wakazi wenye imani tofauti za dini mnamsimamisha kiongozi wa dini moja mnategemea ushindi kwl???labda kwa mtutu......
Lako ulijualo la maana ni lipi mkuu.liseme tuongee.Hujui usemalo, ni bora ungekaa kimya.
Una maana waumini woote wa ngwajima wanaishi Jimbo la Kawe? Aliyewaroga mataga ameshakufa walahi.Gwajima ana mtaji mkubwa wa waumini wake ambao yawezekana wengi wao ni wa Kawe. Haya maoni yanasababishwa tu na uthubutu ninaouona kwake na sisiem yao. Time will tell!
Nitajie mhehe ambaye ni Muislamu? Kawe kuna wapiga kura wenye imani tofauti tofauti na ujinga wenu wakumweka gwajiporn jimbo mmelikosa kiulainiiiii.Kwani mch. Msigwa alikuwa akiongoza wakazi wa imani moja katika jimbo la Iringa mjini?. Kwa kawe mjiaandae kisaikolojia utafiti unaonyesha kuwa Gwanjima atashinda uchaguzi kwa zaidi ya asilimia 80.
Ndugu yangu uliyoandika hapa yameniacha hoi. Kama kweli mtu kama wewe, ambaye kutokana na mchango wako, nimetokea kukuheshimu unasema kuwa ile clp ya ngono imetengenezwa basi sina la kusema. Mkuu ile clip siyo ya kutengeneza. Yule ni Gwajima mwenyewe kabisa na alikuwa anajirikodi mwenyewe. Huhitaji utaalam wowote kufikia hitimisho.
Hizo ni mvua za rasharasha tu. Uchaguzi Octobre. Hao wanaoleta ya nyuma sasa hivi watachoka wenyewe.Kwa jinsi kashfa za utapeli, uongo, mambo mbali mbali zinazo ibuliwa kwa mgombea wao hata kabla ya kampeni kuanza wamesha ona walifanya papara kumpitisha Gwajima.
Sasa hivi yale mambo ya kufufua watu, kumtukana Askofu Pengo, picha za ngono na kubadili madrasa za kiislamu kuwa Sunday schools ndio yanaibuliwa kwa nguvu sana hakuna mfano na muda wa kumsafisha hakuna.
Ni bora hata wangempitisha mwenzetu Pascal Mayalla asiye na kashfa
Angalau hilo umeliona, inawezekana kuna mengi ambayo wanashindwa kumshauri au vingnevyo. Vinginevyo kwa maana ya kushauriwa na kutopokea ushauri huo.Nawalaumu sana 'Research Team' ya CCM kwa Kushindwa Kwake 'Kumshauri' vyema Mwenyekiti Taifa Rais Magufuli juu ya hili. Ninaogopa mno tu!