Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa sijui ana umri gani?? Haelewi hata hizo nyumba za bati alizosema Mdee. Watu kama hawa ambao wako wengi, ni tatizo la Kitaifa.Sijawahi Kukutana na JF Member 'Popoma' kama Wewe katika Historia yangu hapa. Madai ya Gwajima unaweza Kulinganisha na hili moja la Mdee?
Sometimes ni vizuri kuficha upuuzi wako. Post zako huwa kidogo zina mana..ila hii ya leo ni ya kipuuzi na kibaguzi sana..kwa hiyo kwa sababu mkatoliki mwenzako kashambuliwa ndo unaongea..je angeshambuliwa ambae sio mkatoliki mwenzako ungenyamaza kimya au? Kama unatetea tetea kwa haki bila kuangalia status ya mtu..ficha upuuzi angalau kidogo utajistiri mbele ya hadhira.Sina tatizo nae kivile japo tu hapo katika 'Kumshambulia' Kadinali Pengo Mkatoliki Mwenzangu 'amenikera' ila 'Waislamu' wa Kawe wana Hasira nae.
Na pia atawaambia nini wasiokuwa Wasukuma ?Gwajiboi atawaambia nini!? Wakatoliki na waislamu!!?????
Na kazi ngumu sana.Na pia atawaambia nini wasiokuwa Wasukuma ?
Wapiga kura hawako jf, humu kunawapiga kelele tuNa kazi ngumu sana.
Wewe siyo mkatoliki, na kama ni mkatoliki basi ukatoliki wako brain washed.
Mimi ni mkatoliki, na wakatoliki wote wenye kufahamu mazambi na usaliti wa Kadinari Pengo kwa wakristo wa madhehebu yote ni kukiuka makubaliano waliyokubaliana maaskofu wa madhehebu yote kuhusu msimamo wa kanisa kutokubaliana na mahakama ya kadhi.
Kama alivyo kibaraka sheikh mkuu wa Dar ndivyo alivyo kibaraka Pengo.
Nina mashaka na ukatoliki wako kama ufahamu ni kwa nini jimbo kuu la Dar Papa alimteuwa Ruwaichi kuwa Askofu mwandamizi kabla ya huyu Pengo kustaafu.
Wanaojuwa protocol ya kanisa katoliki wanajuwa hapa naandika nini, ingekuwa ni serikali za kawaida Pengo angestaafishwa kwa manufaa ya umma, ila kwa mfumo wa Vatican ili kukustiri unaletewa Askofu mwandamizi na madaraka yote muhimu unakabidhi kwake. Endover powers.
Kwa kifupi point yangu kwa hili Wakatoliki na wakristo wote tulikuwa nyuma ya Gwajima na mpaka kesho namuunga mkono kwa hili, huyu ndio Mtanzania pekee aliyethubutu kumvaa Pengo na kumpa makavu live bila kupepesa.
Baada ya kifo cha Mkapa mtu pekee ambaye anaweza kumwambia kitu Magufuli na akasikiliza na kutekeleza ni Pengo peke yake.
Lisu ni Mkatoliki na Magufuli ni Mkatoliki aliwahi kuwapatanisha kupitia ushawishi wake?
Ninachofurahi mimi ccm ndio waasisi wa siasa za kidini, imekuwa ikiwaumiza wapinzani kwa kuwatumia viongozi uchwara wa dini, this time nao waonje radha ya udini.
CCM yangu wameniudhi Sana kutuletea Gwajima Kawe.Watia Nia ya ubunge CCM Kawe walikuwa 170.yaani katika wote hao wakaona Gwajima ndo anafaa ! Walikuwepo Akina mtoto wa Samwel Sita,Akina Francis Nanai,nk mkawaacha.Aisee hii imekula kwetu CCM.Miye Kura yangu ya u-rais Nampa Magufuli ubunge sitampa Gwajima.Sitaki kuwa mnafiki.
Ni kweli ila Kawe iko DarPengo alikuwa Askofu mkuu wa jimbo la Dsm, madaraka yake ni ndani ya jimbo lake la Dsm tu, maana hapa kuna kaharufu ka kupotosha watu.
Kila Askofu wa jimbo ni mkuu kwenye jimbo lake, hakuna kiongozi mkuu wa wakatoliki wote Tanzania nzima, hakuna.
Kwa jinsi ninavyomfahamu Gwajima hizo tuhuma anaweza kuzipooza vizuri sana na akashinda mapema sana.
Mkuu nafaham wewe uko upande was Gwajima na unataman awe mbunge, lakini tu nikuase kwa sisi waislam wakawe hakuna hata mmoja anaweza kumpa kura Gwajima. Kwasababu kwetu dini yetu nibora kuliko mtu yeyote yule au kitu chochote kile kwahio kwa Gwajima kuikashifu dini yetu, hata yule Muislam ambae haendi msikitini kabisa ukiikashifu dini yake basi mtatafutana ubaya.Hizo ni mvua za rasharasha tu. Uchaguzi Octobre. Hao wanaoleta ya nyuma sasa hivi watachoka wenyewe.
Mimi ni Mkatoliki, kama ningekuwa Kawe ningechagua mgombea kwa kuangalia sifa za uongozi na si kwa kile alichowahi kusema nini na kuhusu nani. Pengine kuna Wakatoliki na waumini wa dini nyingine Kawe wenye mtazamo kama wangu.
Wewe Mburula kweli walio pitisha kikokotoo ni kinanani? Mpaka Mkulu akaja kuokoa jahazi sio Wabunge? Sasa Gwaji boy akiwaloga wenzake(Wabunge) hawa wezi kuzingoa Madrasa kuwa Sunday school's kama Kikokotoo?mbunge ana mamlaka hayo,au hata majukumu ya mbunge huyajui?