Uchaguzi 2020 Sijui Gwajima atatumia Sabuni gani ya 'Kuwatakatisha' Waislamu wa Kawe 'aliowadhihaki' na 'Wakatoliki' waliokwazika naye 'alipomshambulia' Pengo

Uchaguzi 2020 Sijui Gwajima atatumia Sabuni gani ya 'Kuwatakatisha' Waislamu wa Kawe 'aliowadhihaki' na 'Wakatoliki' waliokwazika naye 'alipomshambulia' Pengo

Sina tatizo nae kivile japo tu hapo katika 'Kumshambulia' Kadinali Pengo Mkatoliki Mwenzangu 'amenikera' ila 'Waislamu' wa Kawe wana Hasira nae.
Sometimes ni vizuri kuficha upuuzi wako. Post zako huwa kidogo zina mana..ila hii ya leo ni ya kipuuzi na kibaguzi sana..kwa hiyo kwa sababu mkatoliki mwenzako kashambuliwa ndo unaongea..je angeshambuliwa ambae sio mkatoliki mwenzako ungenyamaza kimya au? Kama unatetea tetea kwa haki bila kuangalia status ya mtu..ficha upuuzi angalau kidogo utajistiri mbele ya hadhira.
 
Wewe siyo mkatoliki, na kama ni mkatoliki basi ukatoliki wako brain washed.

Mimi ni mkatoliki, na wakatoliki wote wenye kufahamu mazambi na usaliti wa Kadinari Pengo kwa wakristo wa madhehebu yote ni kukiuka makubaliano waliyokubaliana maaskofu wa madhehebu yote kuhusu msimamo wa kanisa kutokubaliana na mahakama ya kadhi.

Kama alivyo kibaraka sheikh mkuu wa Dar ndivyo alivyo kibaraka Pengo.

Nina mashaka na ukatoliki wako kama ufahamu ni kwa nini jimbo kuu la Dar Papa alimteuwa Ruwaichi kuwa Askofu mwandamizi kabla ya huyu Pengo kustaafu.

Wanaojuwa protocol ya kanisa katoliki wanajuwa hapa naandika nini, ingekuwa ni serikali za kawaida Pengo angestaafishwa kwa manufaa ya umma, ila kwa mfumo wa Vatican ili kukustiri unaletewa Askofu mwandamizi na madaraka yote muhimu unakabidhi kwake. Endover powers.

Kwa kifupi point yangu kwa hili Wakatoliki na wakristo wote tulikuwa nyuma ya Gwajima na mpaka kesho namuunga mkono kwa hili, huyu ndio Mtanzania pekee aliyethubutu kumvaa Pengo na kumpa makavu live bila kupepesa.

Baada ya kifo cha Mkapa mtu pekee ambaye anaweza kumwambia kitu Magufuli na akasikiliza na kutekeleza ni Pengo peke yake.

Lisu ni Mkatoliki na Magufuli ni Mkatoliki aliwahi kuwapatanisha kupitia ushawishi wake?

Ninachofurahi mimi ccm ndio waasisi wa siasa za kidini, imekuwa ikiwaumiza wapinzani kwa kuwatumia viongozi uchwara wa dini, this time nao waonje radha ya udini.

Wewe ni nani Kwangu mpaka uhoji Ukatoliki wangu? Acha kutaka 'Kutulazimisha' utakacho Wewe sawa? Baki na Ukatoliki wako niache na wangu.
 
CCM yangu wameniudhi Sana kutuletea Gwajima Kawe.Watia Nia ya ubunge CCM Kawe walikuwa 170.yaani katika wote hao wakaona Gwajima ndo anafaa ! Walikuwepo Akina mtoto wa Samwel Sita,Akina Francis Nanai,nk mkawaacha.Aisee hii imekula kwetu CCM.Miye Kura yangu ya u-rais Nampa Magufuli ubunge sitampa Gwajima.Sitaki kuwa mnafiki.

Nami pia siko mbali sana kufanya utakavyofanya Wewe Mkuu labda tu 'Mizimu' yangu ya 'Kizanaki' na 'Kimakuwa' inikataze na Kunitishia Kunilaani.
 
Pengo alikuwa Askofu mkuu wa jimbo la Dsm, madaraka yake ni ndani ya jimbo lake la Dsm tu, maana hapa kuna kaharufu ka kupotosha watu.

Kila Askofu wa jimbo ni mkuu kwenye jimbo lake, hakuna kiongozi mkuu wa wakatoliki wote Tanzania nzima, hakuna.
Ni kweli ila Kawe iko Dar
 
Kwa jinsi ninavyomfahamu Gwajima hizo tuhuma anaweza kuzipooza vizuri sana na akashinda mapema sana.

Tatizo siyo Yeye 'Kulipooza' ila hakuna Jimbo lenye Watu 'Think Tanks' and 'very Critical' kama la Kawe. CCM na Gwajima waka Kazi sana tu Kawe.
 
Binafsi nimewaza iwapo chama tawala kifanye maendeleo lazima kuwe na vyama pinzani ktk inchi husika na pia nikisema inchi nzima itawaliwe na chama kimoja nadhan utakua ni udikteta. Sasa walichofanya ccm ni kumuweka mtu ambae ni mharibifu kwa makusudi ili akose na kujifunza makosa yake na pia wapate upinzani toka kwingine kw maana wao wanafahamu baadhi ya majimbo ni ngumu kuitoa upinzani jumla. Ndio maana ya Gwajima kupewa nafasi wakijua hawez na pia kuwapa ushindi Upinzani ili maendeleo yapatikane. Gwajima anaweza asifahamu lkn kamati NEC imemzunguka makusudi kwa faid ya chama na sio kwamba yeye anakubalika kw wajumbe wa NEC.
 
Hizo ni mvua za rasharasha tu. Uchaguzi Octobre. Hao wanaoleta ya nyuma sasa hivi watachoka wenyewe.
Mkuu nafaham wewe uko upande was Gwajima na unataman awe mbunge, lakini tu nikuase kwa sisi waislam wakawe hakuna hata mmoja anaweza kumpa kura Gwajima. Kwasababu kwetu dini yetu nibora kuliko mtu yeyote yule au kitu chochote kile kwahio kwa Gwajima kuikashifu dini yetu, hata yule Muislam ambae haendi msikitini kabisa ukiikashifu dini yake basi mtatafutana ubaya.

Inawezekana Gwajima akawa bora kiuongozi kuliko Halima ,lakini nikwambie tu kwa Gwajima hapana aisee kwa waislam, Hata kama Gwajima asingekua alikashifu waislam lakini kwa cheo chake tu cha uaskofu hakuna muislam wa kumpigia kura. Ukitaka uamini hivo angalia tu 2010 alivyogombea Dr Slaa, hakuna hata shekhe mmoja alijihusisha nae na kuna baadhi ya nashekhe kama Ponda walitembea nchi hii yote kuwahamsisha waislam wasikpigie kura Slaa kwa sababu ni Padre mstaafu, sembuse Gwajima ambae ameikashifu dini yetu kabisa hapana aisee. kwa sisi waislam hatuna jambo dogo juu ya kuikashifu dini yetu, hata ungekua nikiongozi ambae anauwezo wakuleta maziwa na asali katik nyumba zetu majumbaniz lakini akiikashifu dini yetu hapana aisee.

Waislam tunafahamiana vizuri, katika misimamo juu ya suala la dini yetu, unaweza ukawanyanyasa viongozi wetu tukakaa kimya, lakini ukitaka uone hasira zetu ikashifu dini yetu pamoja na kitabu chake.

Tukutane humu baada ya octoba 28.
 
Mimi ni Mkatoliki, kama ningekuwa Kawe ningechagua mgombea kwa kuangalia sifa za uongozi na si kwa kile alichowahi kusema nini na kuhusu nani. Pengine kuna Wakatoliki na waumini wa dini nyingine Kawe wenye mtazamo kama wangu.

Hatuna 'Mkatoliki' aliye 'Popoma' kama Wewe hivyo tafadhali sana acha 'Kutusanifu' na Kutupandisha hapa 'Hasira' Wakatoliki tunaojitambua mno.
 
mbunge ana mamlaka hayo,au hata majukumu ya mbunge huyajui?
Wewe Mburula kweli walio pitisha kikokotoo ni kinanani? Mpaka Mkulu akaja kuokoa jahazi sio Wabunge? Sasa Gwaji boy akiwaloga wenzake(Wabunge) hawa wezi kuzingoa Madrasa kuwa Sunday school's kama Kikokotoo?
 
Back
Top Bottom