Uchaguzi 2020 Sijui Gwajima atatumia Sabuni gani ya 'Kuwatakatisha' Waislamu wa Kawe 'aliowadhihaki' na 'Wakatoliki' waliokwazika naye 'alipomshambulia' Pengo

Pia asisahau kutumia TV hiyo kuweka clip za TL wakati anapiga dili na mabeberu na kuisaliti nchi
 
Wewe unaandika hivi ili kutetea kibarua chako ila sidhani kama kampeni za hivi zitafanikiwa. Mimi kama mmoja ya watu unaoamini kuwa hatuna akili timamu nakutaarifu kuwa tayari Gwajima na kura 79 za wajumbe na kura za mamia kadhaa wa kanisani Kwake mkononi. Hii ni kabla ya kampeni. Na hawa wote ndiyo kamati yake ya kampeni. Kwa ufupi namuona kama mshindi atakayeshinda mapema sana.
 
Nimesoma kila mchangiaji. Gwajima byebye ndio umepoteza kila kitu na hayo mabanda yako hapo ubungo yatakosa hata mbwa wa kuja kunya hapo.

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ndugu yangu uliyoandika hapa yameniacha hoi. Kama kweli mtu kama wewe, ambaye kutokana na mchango wako, nimetokea kukuheshimu unasema kuwa ile clp ya ngono imetengenezwa basi sina la kusema. Mkuu ile clip siyo ya kutengeneza. Yule ni Gwajima mwenyewe kabisa na alikuwa anajirikodi mwenyewe. Huhitaji utaalam wowote kufikia hitimisho.
 
Na Wakatoliki wote wasimpigie kura Gwajima kwa matusi aliyomtukana Cardinal Pengo, na wote wasio Wasukuma wasimpigie kura Gwajima kwa kuanzisha vikundi vya kikabila mithili ya interahamwe
 
Alimuonea sana Imma kummegea mke wake kinyama
 
Ccm hapo wamebugi jimbo lenye wakazi wenye imani tofauti za dini mnamsimamisha kiongozi wa dini moja mnategemea ushindi kwl???labda kwa mtutu......
Kwani mch. Msigwa alikuwa akiongoza wakazi wa imani moja katika jimbo la Iringa mjini?. Kwa kawe mjiaandae kisaikolojia utafiti unaonyesha kuwa Gwanjima atashinda uchaguzi kwa zaidi ya asilimia 80.
 
Gwajima ana mtaji mkubwa wa waumini wake ambao yawezekana wengi wao ni wa Kawe. Haya maoni yanasababishwa tu na uthubutu ninaouona kwake na sisiem yao. Time will tell!
Una maana waumini woote wa ngwajima wanaishi Jimbo la Kawe? Aliyewaroga mataga ameshakufa walahi.
 
Kwani mch. Msigwa alikuwa akiongoza wakazi wa imani moja katika jimbo la Iringa mjini?. Kwa kawe mjiaandae kisaikolojia utafiti unaonyesha kuwa Gwanjima atashinda uchaguzi kwa zaidi ya asilimia 80.
Nitajie mhehe ambaye ni Muislamu? Kawe kuna wapiga kura wenye imani tofauti tofauti na ujinga wenu wakumweka gwajiporn jimbo mmelikosa kiulainiiiii.
 

Wewe tuendelee kuheshimiana tu ndugu yangu....

Lakini linapokuja suala la Uhuru wa mawazo na kuamini, hapo kila mtu asimamie anachokiamini kwa hoja...

Kwa hiyo, wewe kama unaamini hivyo, Mimi nami naamini kama ulivyonisoma na nitabaki kuamini hivyo...

Asante sana, na pole sana bro/sister...
 
Hizo ni mvua za rasharasha tu. Uchaguzi Octobre. Hao wanaoleta ya nyuma sasa hivi watachoka wenyewe.
 
Nawalaumu sana 'Research Team' ya CCM kwa Kushindwa Kwake 'Kumshauri' vyema Mwenyekiti Taifa Rais Magufuli juu ya hili. Ninaogopa mno tu!
Angalau hilo umeliona, inawezekana kuna mengi ambayo wanashindwa kumshauri au vingnevyo. Vinginevyo kwa maana ya kushauriwa na kutopokea ushauri huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…