Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Wengi wa wanakawe ni wasomi na wana access na teknohama wanajua vitu vingi. Wanakumbukumbu piaBaba tupia lile dude Gwajiboy anakaja mauno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
CCM sijui mmewachukuliaje wana Kawe mwaka huu?????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KalaghabahoKwa jinsi kashfa za utapeli, uongo, mambo mbali mbali zinazo ibuliwa kwa mgombea wao hata kabla ya kampeni kuanza wamesha ona walifanya papara kumpitisha Gwajima.
Sasa hivi yale mambo ya kufufua watu, kumtukana Askofu Pengo, picha za ngono na kubadili madrasa za kiislamu kuwa Sunday schools ndio yanaibuliwa kwa nguvu sana hakuna mfano na muda wa kumsafisha hakuna.
Ni bora hata wangempitisha mwenzetu Pascal Mayalla asiye na kashfa
Kitendo tu cha kutishia kua ana ndoto ya kugeuza misikiti kua Sunday school kinatosha kumfanya kua adui wa uislamu na waislamu. Sio tu waislamu hawapaswi kumpa kura zao bali pia ni jukumu lao kuhakikisha hachaguliwi kwa ujumla.Kwa hiyo ndugu yangu na utu uzima huo unaamini Gwajima anaweza kuufuta Uislamu?
Unataka tufukue kashfa za Pascal Mayalla , maana naye ni wa kulekuleKwa jinsi kashfa za utapeli, uongo, mambo mbali mbali zinazo ibuliwa kwa mgombea wao hata kabla ya kampeni kuanza wamesha ona walifanya papara kumpitisha Gwajima.
Sasa hivi yale mambo ya kufufua watu, kumtukana Askofu Pengo, picha za ngono na kubadili madrasa za kiislamu kuwa Sunday schools ndio yanaibuliwa kwa nguvu sana hakuna mfano na muda wa kumsafisha hakuna.
Ni bora hata wangempitisha mwenzetu Pascal Mayalla asiye na kashfa
Mumeiweka kwenye youtube kama ya Gwajima anavyokula boga kanisani ?Na ile ya wele wakisagana tunayo.
UbarikiweGwajima ni mbaguzi hatufai hapa Kawe kura tunampa Halima Mdee
Suala sio mamlaka ila kwa chuki zake kwa waislamu ataleta utengano wa kitaifa.mbunge ana mamlaka hayo,au hata majukumu ya mbunge huyajui?
Hahaha hata hii video siyo kweli ni uongo tu dhidi ya Gwajima?!Sioni tatizo la video hii...
Sijaona tusi hapo...
Mtu mliokubaliana jambo hadharani halafu akakiuka makubaliano hayo hadharani, umwiteje?
Ni mpuuzi, mnàfiki na mjinga kabisa na ikiwezekana awe mpumbavu kabisa....
Hizi ni sifa za mtu wa namna hiyo. Hafai mtu huyo vinginevyo autambue udhaifu wake huo na kutubu....
KWA UPANDE MWINGINE;
Mimi binafsi sina tatizo na Mch. Gwajima kwa kumshambulia Cardinal Pengo au tuhuma za wa watu kumchafua kumtengenezea picha ya ngono kwa kutumia technolojia ya photoshop....
Haya yote ni uongo tu. Sina shaka kabisa na ushiriki wake ktk hayo, kuwa ni uongo 100%...
Mimi nataka Mch. Gwajima ashindwe kwenye uchaguzi huo ili ASIWE MBUNGE KABISA kwa gharama yoyote ile ili abaki kwenye kazi ya WITO WAKE aliyoitiwa na Kristo Yesu ya:
å Utume wa kueneza Injili
å Uchungaji
å Ualimu wa Neno la Mungu
å Unabii
å Uinjilisti
Huko anakotaka kuingia na kazi anayotaka kwenda kuifanya (Uanasiasa 100%) siyo wito wake unless awe amezungumza na Mungu kwelikweli na kumruhusu kwenda huko kwa sbb labda Mungu anataka kutimiza kusudi fulani maalumu kwa wanadamu (Watanzania) kupitia yeye...
Bila shaka kwa Mungu hili linawezekana kabisa....
Lakini kama ni tamaa yake tu ya kujituma kutaka madaraka ya kidunia pasipo sauti ya Mungu, basi amebugi sana.....
Aidha mimi sisemi kuwa hawezi kushinda Ubunge (japo maombi yangu ni ASHINDWE lakini si mapenzi yangu ila ya Mungu ndiyo yanayotimizwa).....
Ni kwa sababu, Mungu aweza kumuacha akashinda na kupata kile moyo wake ukitakacho, lakini kile cha thamani alichopewa na Yesu Kristo, atakipoteza na ndiyo itakuwa mwisho wake....
Polisi wengi tena? Kwamba itakua ngumu kutangaza matokeo, au?Wameshachelewa na ninachojua tu ni kwamba kama kuna Jimbo ambalo Askari Polisi na FFU wengi watajaa wakati wa Kutajwa Matokeo ni Kawe.
Nitajie mhehe ambaye ni Muislamu???kawe kuna wapiga kura wenye imani tofauti tofauti na ujinga wenu wakumweka gwajiporn jimbo mmelikosa kiulainiiiii.....
Yeye alimshinda Bashite kwa vile wanatoka Huko usukumani wanajuana kwa vilemba!Mna mna mchukulia poa Gwajima, kamdondosha Pengo na Bashite itakuwa mdee? Atashinda kwenye box la kura bila nguvu ya ziada.
Hivi unazifahamu hizo nyumba za bati alizokua anasema??Ni kama Halima Mdee alivuowakashifu Askari Magereza pale Gereza la Ukonga kwamba, namnukuu,' MASIKINI WAKUBWA NYIE NDO MAANA MNAKAA KWENYE NYUMBA ZA BATI,' Huo ulikuwa ni ujumbe kwa Watanzania wote wakiwemo wana Kawe wanaokaa nyumba zilizoezekwa kwa bati kwamba ni masikini