bulicheka 4
JF-Expert Member
- Mar 22, 2020
- 915
- 1,019
Rejea Kikokotoo ilikuwa kazi ya nani sio wabunge?mbunge ana mamlaka hayo,au hata majukumu ya mbunge huyajui?
Wewe unaandika hivi ili kutetea kibarua chako ila sidhani kama kampeni za hivi zitafanikiwa. Mimi kama mmoja ya watu unaoamini kuwa hatuna akili timamu nakutaarifu kuwa tayari Gwajima na kura 79 za wajumbe na kura za mamia kadhaa wa kanisani Kwake mkononi. Hii ni kabla ya kampeni. Na hawa wote ndiyo kamati yake ya kampeni. Kwa ufupi namuona kama mshindi atakayeshinda mapema sana.
Polisi wengi tena....? Kwamba itakua ngumu kutangaza matokeo, au?
Sometimes ni vizuri kuficha upuuzi wako...post zako huwa kidogo zina mana..ila hii ya leo ni ya kipuuzi na kibaguzi sana..kwa hiyo kwa sababu mkatoliki mwenzako kashambuliwa ndo unaongea..je angeshambuliwa ambae sio mkatoliki mwenzako ungenyamaza kimya au? Kama unatetea tetea kwa haki bila kuangalia status ya mtu..ficha upuuzi angalau kidogo utajistiri mbele ya hadhira.
Wapiga kura hawako jf, humu kunawapiga kelele tu
Alimshambulia Askofu Pengo kama mtu binafsi, lakini alijidai hatambui mamlaka ya Askofu Pengo kikanisa, na alimtukana, mjinga na mpumbavu.
Duh !!!NAOMBA VIDEO YA GWAJIMA AKITOMBA MUUMINI WAKE .... PIA NAOMBA VIDEO YA GWAJIMA AKISEMA KUGOMBEA UBUNGE NI KUJISHUSHIA HESHIMA
Baada ya kuona jinalako nimeshindwa cha kukonectWapiga kura hawako jf, humu kunawapiga kelele tu
Alikanusha kugombea ubunge kwa vile yeye cheo chake kama askofu ni kikubwa kuliko mbunge au rais. Sasa anaungama "nimekosa mimi ... Nimekosa sana..."Hizo kauli zake zilikuwa zimesahaulika naona zimeibuka tena gafla baada ya kushinda ,hii funzo kwamba kuwa makini na unachoongea itafika mda itakuathiri ,sasa hivi hii hoja yake imeibuliwa upya tena kwa ushawishi mkubwa
Kwa chagizo lako hili nimeujua msimamo wako wa kisiasa, we sio shabiki bali unaongelea facts haijarishi mgombea anatoka chama gani.Ushindi wa Halima Mdee Kawe sio kwa faida ya CDM tu bali ni kwa watanzania wote washabiki wa vyama na wasio washabiki wa vyama, watu wa makabila yote, watu wa rangi zote na dini zote.
Kumchagua Gwajima jimbo la Kawe ni sawa na kubariki tabia zake mbaya ni mambo tunayoyakubali ndani ya jamii yetu.
Kabisa mkuu usifanye ivyo peke yako siku ya kupiga kura mkumbushe na jirani yako Kawe kuna uchaguzi wa ‘good vs evil’ tusikubali evil (Gwajima) ashinde.Kwa chagizo lako hili nimeujua msimamo wao wa kisiasa, we sio shabiki bali unaongelea facts haijarishi mgombea anatoka chama gani.
Mimi kama mkazi wa jimbo la kawe Gwajima hapati kura yangu kwa tabia zake za kigeugeu ambazo mtumishi wa Mungu wa kweli, mwenye hofu ya Mungu wa kweli hawezi kuwa nazo.
Na kwa jinsi alivyo nachelea kuwa na wasiwasi sana na huduma yake ya kiutumishi.
Hapa nimejiongelea mimi binafsi ila ni wakazi wengi wa hapa hawapendezwi na tabia alizozionesha kwenye jamii. Eneo hili ana support ndogo sana, ajue kwamba wakazi wa hapa tunajielewa na tunasimamia yaliyomemaKabisa mkuu usifanye ivyo peke yako siku ya kupiga kura mkumbushe na jirani yako Kawe kuna uchaguzi wa ‘good vs evil’ tusikubali evil (Gwajima) ashinde.