Uchaguzi 2020 Sijui Gwajima atatumia Sabuni gani ya 'Kuwatakatisha' Waislamu wa Kawe 'aliowadhihaki' na 'Wakatoliki' waliokwazika naye 'alipomshambulia' Pengo

Uchaguzi 2020 Sijui Gwajima atatumia Sabuni gani ya 'Kuwatakatisha' Waislamu wa Kawe 'aliowadhihaki' na 'Wakatoliki' waliokwazika naye 'alipomshambulia' Pengo

Wewe unaandika hivi ili kutetea kibarua chako ila sidhani kama kampeni za hivi zitafanikiwa. Mimi kama mmoja ya watu unaoamini kuwa hatuna akili timamu nakutaarifu kuwa tayari Gwajima na kura 79 za wajumbe na kura za mamia kadhaa wa kanisani Kwake mkononi. Hii ni kabla ya kampeni. Na hawa wote ndiyo kamati yake ya kampeni. Kwa ufupi namuona kama mshindi atakayeshinda mapema sana.

'ID' yako ndivyo ilivyo hivi au labda kuna mahala herufi 'n' imesahaulika mahala hapo?
 
Sometimes ni vizuri kuficha upuuzi wako...post zako huwa kidogo zina mana..ila hii ya leo ni ya kipuuzi na kibaguzi sana..kwa hiyo kwa sababu mkatoliki mwenzako kashambuliwa ndo unaongea..je angeshambuliwa ambae sio mkatoliki mwenzako ungenyamaza kimya au? Kama unatetea tetea kwa haki bila kuangalia status ya mtu..ficha upuuzi angalau kidogo utajistiri mbele ya hadhira.

Imbecile.
 
Alimshambulia Askofu Pengo kama mtu binafsi, lakini alijidai hatambui mamlaka ya Askofu Pengo kikanisa, na alimtukana, mjinga na mpumbavu.

Hivi wakatoliki kumbe ndo viranja wa makanisa yote ya kikristo?? Na inabidi viongozi wao watambulike na makanisa yote?
 
Zile video zake za ukabila nazo ziko kwenye list, hapenyi Halima ni mbunge anayengojea kuapishwa.
 
Hizo kauli zake zilikuwa zimesahaulika naona zimeibuka tena gafla baada ya kushinda ,hii funzo kwamba kuwa makini na unachoongea itafika mda itakuathiri ,sasa hivi hii hoja yake imeibuliwa upya tena kwa ushawishi mkubwa
Alikanusha kugombea ubunge kwa vile yeye cheo chake kama askofu ni kikubwa kuliko mbunge au rais. Sasa anaungama "nimekosa mimi ... Nimekosa sana..."

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Kama waislamu wa Kawe wanataka waone misikiti inageuzwa sunday school au wakiamriwa waondoe vipaza sauti kwenye misikiti yao, basi wampe kura huyu Porn Star, ila kama wanataka kuishi kama waislamu wengine nchini kote, Halima Mdee anatosha.
 
Gwaji ni mtu wa kula matapishi yake kutokana na kauli zake anazozitoaga ktk madhabahu yake uchwara nyingi znamrudia yeye mwenyewe na siku zote Mungu hamfichi Mnafiki nina Imani wana Kawe watafanya maamuzi sahihi kwa huyu Mwanaizaya.
 
Ushindi wa Halima Mdee Kawe sio kwa faida ya CDM tu bali ni kwa watanzania wote washabiki wa vyama na wasio washabiki wa vyama, watu wa makabila yote, watu wa rangi zote na dini zote.

Kumchagua Gwajima jimbo la Kawe ni sawa na kubariki tabia zake mbaya ni mambo tunayoyakubali ndani ya jamii yetu.
Kwa chagizo lako hili nimeujua msimamo wako wa kisiasa, we sio shabiki bali unaongelea facts haijarishi mgombea anatoka chama gani.

Mimi kama mkazi wa jimbo la kawe Gwajima hapati kura yangu kwa tabia zake za kigeugeu ambazo mtumishi wa Mungu wa kweli, mwenye hofu ya Mungu wa kweli hawezi kuwa nazo.

Na kwa jinsi alivyo nachelea kuwa na wasiwasi sana na huduma yake ya kiutumishi.
 
Kwa chagizo lako hili nimeujua msimamo wao wa kisiasa, we sio shabiki bali unaongelea facts haijarishi mgombea anatoka chama gani.

Mimi kama mkazi wa jimbo la kawe Gwajima hapati kura yangu kwa tabia zake za kigeugeu ambazo mtumishi wa Mungu wa kweli, mwenye hofu ya Mungu wa kweli hawezi kuwa nazo.

Na kwa jinsi alivyo nachelea kuwa na wasiwasi sana na huduma yake ya kiutumishi.
Kabisa mkuu usifanye ivyo peke yako siku ya kupiga kura mkumbushe na jirani yako Kawe kuna uchaguzi wa ‘good vs evil’ tusikubali evil (Gwajima) ashinde.
 
Kabisa mkuu usifanye ivyo peke yako siku ya kupiga kura mkumbushe na jirani yako Kawe kuna uchaguzi wa ‘good vs evil’ tusikubali evil (Gwajima) ashinde.
Hapa nimejiongelea mimi binafsi ila ni wakazi wengi wa hapa hawapendezwi na tabia alizozionesha kwenye jamii. Eneo hili ana support ndogo sana, ajue kwamba wakazi wa hapa tunajielewa na tunasimamia yaliyomema
Tusubiri tuone kitakachojiri
 
Mohamed Said unawasikia Vijana? Wanakumbusha madrasa kugeuzwa sunday school!

Nimesoma hii nikitokea katika viunga vya minazi, leio janguo liliitika, si haba. Kesho nitacheka ngamiani sokoni

Nakugutia vijana wana neno, ukishawasoma tuhamie kule tujadili kwa kina na urefu wake.
Au unasubiri kuyasema wakati wa Taazia?

Pascal Mayalla Mag3
 
Kama Gwajima Ni weak candidate against Mdee kusingekuwa na thread nyingiii za kumchafua, hicho Ni kiashiria kuwa anaogopeka
 
Back
Top Bottom