Uchaguzi 2020 Sijui Gwajima atatumia Sabuni gani ya 'Kuwatakatisha' Waislamu wa Kawe 'aliowadhihaki' na 'Wakatoliki' waliokwazika naye 'alipomshambulia' Pengo

KAWE wanamtaka GWAJIMA
 
Lakini vile vile yawezekana kabisa kumpa Gwajima hii nafasi ndio bakora waliyoona inamfaa, Inawezekana CCM wame Sacrifice Jimbo la Kawe na kuligeuza kuwa bakora ya kumtandika huyu jamaa. Atakapo pigwa chini na Mdee itakuwa adhabu tosha ya upuuzi alioufanya. So Huenda CCM wamefanya makusudi kabisa huyu jamaa aaibishwe.
 
Cc Halima Mdee
 
Kama mnashinda mbona mnaweweseka sana na kuanzisha thread kwa jambo hilo hilo
 
We CCM we just dont throw a chance. Hatuna tabia ya kubahatisha maamuzi yanatokana na vikao na mikakati madhubuti.
 
Watu mnaandika uongo sana. Pengo hakustaafishwa, Pengo alifikia umri halali wa kustaafu madaraka yake kama Askofu mkuu wa Dar. Si yeye tu hata Askofu wa Arusha na Sumbawanga nao wamestaafu kipindi hicho hicho.
 
Ni ili aendeleze juhudi za JPM kwa kumchagua Tz itazidi kupaa kiuchumi
 
Na ile video jamaa alosema ubunge ni cheo kidogo sana. Pia katika imani yetu ya Kikristo, nafasi ya Uchungaji tena Askofu, huwezi hata kutamani kazi ya siasa. Huwezi kabisa.

Huyu jamaa sijui anamtumikia Mungu yupi, mara kashfa za Flora Mbasha, mara madawa ya kulevya n.k
 
Na ile video nyingine pia asihofu kuiweka ili watu wamwelewe mgombea huyo kabla hawajaingia mkenge
 
Pengo alisema tangu 2014 kuwa amebakiza miaka 5 kustaafu na kuteuliwa Ruwai'chi ni utaratibu wa kawaida wa kurithisha madaraka kikanisa hata Pengo mwenyewe kabla ya kuchukua madaraka Dar alianza kama mwandamizi mwaka 90.
 
Kifupi Gwajima kalazimishwa kuingia CCM na kalazimishwa kugombea jimbo la Kawe, hata ile video ilikuwa na lengo la kumfanya akubaliane na matakwa yao maana alikuwa mgumu na misimamo yake..na jamaa walikuwa na part two and three alipokubali tu kuunga mkono juhudi kesho yake akashafishwa.

Kama mnakumbuka aliitwa aende kureport polisi na baadae wakageuka kuwa hana hatia

Angeendelea kuwa mbishi angeburuzwa mahakamani kama kina Wema na Amba Ruthy na ingekuwa kashfa kubwa sana kwa kiongozi wa dini tena ya kiroho kuburuzwa mahakamani kwa video za ngono.

Hapo ndo walipompata Gwajiboy na maisha yake yote ataitumikia CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…