Uchaguzi 2020 Sijui Gwajima atatumia Sabuni gani ya 'Kuwatakatisha' Waislamu wa Kawe 'aliowadhihaki' na 'Wakatoliki' waliokwazika naye 'alipomshambulia' Pengo

Ikiwa unataka kuanza biashara ukafikiri kuwa wafanyakazi wako watakuibia unachojiandaa nacho ni namna ya kuwadhibiti. Ukiona hilo huwezi ushajiandaa kushindwa. Usilalamike, jiunge nao upinzani wape mbinu za kulinda kura zao. Wacha KWIO mapema. Tulia mpira dakika 90. Ukiotea kama refa hajaona hilo nalo goli. Faulu pia zipo. Mpira gani unaanza na wasiwasi oooh sijui nini. Ni dalili za kuambulia nunge.
Unoboy hana nafasi ya kushinda labda kwa "kafara ya damu" kama ilvyokuwa kwa "MTOLEA"
Ruksa kushangilia goli za kuotea na faulo lakini washangiliaji na mashabiki wanajulikana maamuzi yao wakiona haki inaporwa hawachelewi kuvunja viti na kurushia waamuzi na wachezaji chupa na vinyesi!!
 
Kwa jinsi ninavyomfahamu Gwajima hizo tuhuma anaweza kuzipooza vizuri sana na akashinda mapema sana.

Ile video yake ya anavyokula boga la kondoo wake kanisani imeshaondoshwa mitandaoni??
 
Kwa jinsi kashfa za utapeli, uongo, mambo mbali mbali zinazo ibuliwa kwa mgombea wao hata kabla ya kampeni kuanza wamesha ona walifanya papara kumpitisha Gwajima.

Sasa hivi yale mambo ya kufufua watu, kumtukana Askofu Pengo, picha za ngono na kubadili madrasa za kiislamu kuwa Sunday schools ndio yanaibuliwa kwa nguvu sana hakuna mfano na muda wa kumsafisha hakuna.

Ni bora hata wangempitisha mwenzetu Pascal Mayalla asiye na kashfa
Kwa Halima Mdee hawana la kufanya zaidi ya kutapatapa. Hata hivyo waliamua kumfuta Dominic Furaha wakiamini anagalau Gwajima atasaidia lakini wapi.
 
GENTAMYCINE,

Wakristo wenye misimamo mikali wanamkubali Gwajima, nakusudia walokole na the likes, pia watu wa mfumo wanaona atafaa sana kwa sababu zao' tufanye subra na hio ndio raha ya siasa bwana dawa.
 
Kifupi Gwajima kalazimishwa kuingia CCM na kalazimishwa kugombea jimbo la Kawe...hata ile video ilikuwa na lengo la kumfanya akubaliane na matakwa yao maana alikuwa mgumu na misimamo yake..na jamaa walikuwa na part two and three alipokubali tu kuunga mkono juhudi kesho yake akashafishwa...

Kama mnakumbuka aliitwa aende kureport polisi na baadae wakageuka kuwa hana hatia

Angeendelea kuwa mbishi angeburuzwa mahakamani kama kina Wema na Amba Ruthy na ingekuwa kashfa kubwa sana kwa kiongozi wa dini tena ya kiroho kuburuzwa mahakamani kwa video za ngono...

Hapo ndo walipompata Gwajiboy na maisha yake yote ataitumikia CCM .
Ni sahihi
 
Kwa jinsi kashfa za utapeli, uongo, mambo mbali mbali zinazo ibuliwa kwa mgombea wao hata kabla ya kampeni kuanza wamesha ona walifanya papara kumpitisha Gwajima.

Sasa hivi yale mambo ya kufufua watu, kumtukana Askofu Pengo, picha za ngono na kubadili madrasa za kiislamu kuwa Sunday schools ndio yanaibuliwa kwa nguvu sana hakuna mfano na muda wa kumsafisha hakuna.

Ni bora hata wangempitisha mwenzetu Pascal Mayalla asiye na kashfa
Kwanini mnawasemea
 
Gwajima atapita tu!!!
 
Kusema ukweli gwajima hapa kawe watu hatumtaki
Siasa ina mengi mkuu, lolote laweza jitokeza, mpiga kura anapokabidhiwa karatasi ya kura anaweza fanya lolote.

Tuombe uzima, ila Ccm wamempitisha Gwajima hapo kimkakati yaani wameamua kumuwekea Halima (Chadema) kisiki.

Wakati mmoja huyu Gwajima alishangiliwa sana na CDM huku akionekana kama shujaa na mwenye msimamo (rejea vita yake na Makonda), Sasa amegeuka hasimu wa CDM, hapa Ccm wamefanya makusudi kabisa ili washirika wawili wa zamani (CDM na Gwajima) wapambane wenyewe kwa wenyewe huku wao wakimsaidia mmoja (Gwajima) kutwaa jimbo.
 
Kwa jinsi kashfa za utapeli, uongo, mambo mbali mbali zinazo ibuliwa kwa mgombea wao hata kabla ya kampeni kuanza wamesha ona walifanya papara kumpitisha Gwajima.

Sasa hivi yale mambo ya kufufua watu, kumtukana Askofu Pengo, picha za ngono na kubadili madrasa za kiislamu kuwa Sunday schools ndio yanaibuliwa kwa nguvu sana hakuna mfano na muda wa kumsafisha hakuna.

Ni bora hata wangempitisha mwenzetu Pascal Mayalla asiye na kashfa
Paskali alipata kura ngapi?
 
Kwa kuwa waislamu na Wakotoliki ni waungwana sana basi huyu Bwana alishasamehewa Kwahyo msimu ujao atatimba bungeni na chopa yake
 
Back
Top Bottom