unajua wazingu mpaka leo wamechanja wangapi? nani kakwambia wazungu wanapinga ch
Sio wote na kwanini sio wote hadi chanjo ifike huku polini na imeanzia kwao kwanini wasichanjwe kwanza wote huko kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unajua wazingu mpaka leo wamechanja wangapi? nani kakwambia wazungu wanapinga ch
sio wote kwasababu bado wanaendelea kuchanjaSio wote na kwanini sio wote hadi chanjo ifike huku polini na imeanzia kwao kwanini wasichanjwe kwanza wote huko kwao
Hahahahaha wanaendelea kuchanja wakati sisi tunaendelea kufanyiwa majaribio Afrikan bana bure kabisasio wote kwasababu bado wanaendelea kuchanja
watu wanapata chanjo we unasema ni majaribio?Hahahahaha wanaendelea kuchanja wakati sisi tunaendelea kufanyiwa majaribio Afrikan bana bure kabisa
Kuipata chanjo OG toka kwa mzungu ambaye bado anachanja raia wake hii ni ndoto mzungu hajawahi kumkubali negro usisahau hilowatu wanapata chanjo we unasema ni majaribio?
negro mbn anakula njugu za ARV katengeneza yeye?Kuipata chanjo OG toka kwa mzungu ambaye bado anachanja raia wake hii ni ndoto mzungu hajawahi kumkubali negro usisahau hilo
Apathetic foolHata microphone anayoitumia Rashidi kuwasema vibaya hao mabeberu,nayo imetengenezwa na hao hao anaowaita Mabeberu,
Hata Gari inayompeleka kwenye hiyo microphone nayo imebuniwa na kutengenezwa na hao hao mabeberu pia,
Beberu ni kama maji,usipo yaoga basi utayanywa.
Haya subiri zawadi ya Dera/Dela ujaribishe kama litakutosha au tulibadilishe.Apathetic fool
Mimi nimechanjwajamaa wanne wamechanjwa ila wote hali mbaya mpakaa jamaa wa afya akaniambia usichanjwe
Mkuu fanya utafiti kidogo kuhusu Virus then utakuwa na ufahamu kama kuna chanjo ya virus. Virus ni human made ni sawa na computer virus. Hivyo utatakiwa kila mara upigwe chanjo kama ambavyo computer virus anavyotelewa version mpya kila mara. Hivyo wahuni wameamua kila mara wawatengenezee virus variant ili waendelee kuwapiga pesa kila mara. Hujiulizi kwa nini huyo corona virus hawashambulii watoto?? Fahamu kuwa huyo corona virus ametengenezwa purposely aliwashambulie watoto ila huko mbeleni wanaweza kuingiwa na shetani wakatengeneza variant wakushambulia watoto usishangae!Mweshmiwa mbunge wa viti maalumu Humphrey Polepole yeye anasema tusipige chanjo ila tufanye mazoezi kwa wingi pia tule ugali wa dona na matembele kwa wingi na kuondoa hofu tutaishinda corona
Askofu yeye anadai tumuomne sana Mungu kwani alikua ameshaliponya taifa na korona ikaisha, pia analaumu sana kwanini viongozi wameachana na maelekezo ya JPM katika kukabiliana na COVID?
Sasa basi mi namuomba Askofu atembelee hospitali za Bugando na KCMC akawaombee wagonjwa walioko kwenye oksijen waweze kupona maana hali si shwari.
Kwanini nawaona wapinga chanjo wana shortage kichwani?
Kwanza kabisa Nchi hii wengi wanaopinga chanjo hawana utaalamu wowote wa maswal ya utabibu wala tiba wala hawajawai kufanya tafiti zozote za kitabibu, askofu kasomea elimu ya dini,
Anadai kwanini chanjo haikusubiri miaka kumi ndio itumike, serious mtu mwenye akili timamu hawezi kuuliza swali la kijinga namna hii, ugonjwa wa mlipuko unaoua kwa muda mfupi unataka chanjo ichukue miaka kumi?
Angalia ugonjwa ulivyoingia nchi za watu kule kwa siku walikua wanapoteza maelfu na maelfu ya watu, Italy hadi wazee walitaka kuisha askofu alitaka mpaka 2030 ndio chanjo ianze kutumika?
Vuta kumbukumbu tatizo la Ebora, chanjo yake ilipatikana ndani ya mwaka mmoja tu na ikafanya kazi kwa ufanisi mpaka leo Ebora imebaki kwenye vitabu,
Wazungu wanataka kutuua na chanjo zao? ni mpumbavu tu ndiye anaweza kusema kauli kama hizo
Binafsi sina ubaya wala chuki na mtu ila twende mbele turudi nyuma wote wanaopinga chanjo inawezekana kuna fyuzi kichwani zimelegea tukianza na askofu Rashidi na anakoelekea atachanganyikiwa hii yote ni laana ya wizi wa kura inamtafuna
Ili niwaone wapinga chanjo kua wako sawa kiakili, naomba wasusie dawa zote za hospitali zinazotoka nchi za mabeberu bila hivyo nitaendelea kuwaona ni wajinga tu
Nataka mumwambie askofu kipindi kile amevunjika miguu anatembelea wheel chair dawa za mabeberu ndio zilimtibu, na aelewe kwamba wakati yeye anakula analala anashiba kwa sadaka za waumini ajue kuna watu humu duniani hawalali wanaumiza vichwa kwa tafiti za kisayansi kutengeneza dawa za za magonjwa mbalimbali
Mweshmiwa mbunge wa viti maalumu Humphrey Polepole yeye anasema tusipige chanjo ila tufanye mazoezi kwa wingi pia tule ugali wa dona na matembele kwa wingi na kuondoa hofu tutaishinda corona

Mkuu,wewe unajua utakua kundi gani kati ya hayo makundi mawili ya walio pona au waliokufa? Issue ina anzia hapo.View attachment 1886649
angalia hizi data vizuri, watu mil 184 wamepona corona bila hata chanjo wala dawa! ila media znatumia hao watu mil 4 kutengeneza attention (panic) kiasi kwamba watu wameichukulia corona kama death sentence!
lakini pia angalia hapa
View attachment 1886652
- kwa kifupi ni kwamba hawa watu mil 184 waliopona bila chanjo wala dawa, ni wapuuzi wewe ndo mwenye akili kuliko wao! kila laheri katika safari yako ya kuufanya mwili wako kutegemea dawa
Mkuu,wewe unajua utakua kundi gani kati ya hayo makundi mawili ya walio pona au waliokufa? Issue ina anzia hapo.
Mweshmiwa mbunge wa viti maalumu Humphrey Polepole yeye anasema tusipige chanjo ila tufanye mazoezi kwa wingi pia tule ugali wa dona na matembele kwa wingi na kuondoa hofu tutaishinda corona
Askofu yeye anadai tumuomne sana Mungu kwani alikua ameshaliponya taifa na korona ikaisha, pia analaumu sana kwanini viongozi wameachana na maelekezo ya JPM katika kukabiliana na COVID?
Sasa basi mi namuomba Askofu atembelee hospitali za Bugando na KCMC akawaombee wagonjwa walioko kwenye oksijen waweze kupona maana hali si shwari.
Kwanini nawaona wapinga chanjo wana shortage kichwani?
Kwanza kabisa Nchi hii wengi wanaopinga chanjo hawana utaalamu wowote wa maswal ya utabibu wala tiba wala hawajawai kufanya tafiti zozote za kitabibu, askofu kasomea elimu ya dini,
Anadai kwanini chanjo haikusubiri miaka kumi ndio itumike, serious mtu mwenye akili timamu hawezi kuuliza swali la kijinga namna hii, ugonjwa wa mlipuko unaoua kwa muda mfupi unataka chanjo ichukue miaka kumi?
Angalia ugonjwa ulivyoingia nchi za watu kule kwa siku walikua wanapoteza maelfu na maelfu ya watu, Italy hadi wazee walitaka kuisha askofu alitaka mpaka 2030 ndio chanjo ianze kutumika?
Vuta kumbukumbu tatizo la Ebora, chanjo yake ilipatikana ndani ya mwaka mmoja tu na ikafanya kazi kwa ufanisi mpaka leo Ebora imebaki kwenye vitabu,
Wazungu wanataka kutuua na chanjo zao? ni mpumbavu tu ndiye anaweza kusema kauli kama hizo
Binafsi sina ubaya wala chuki na mtu ila twende mbele turudi nyuma wote wanaopinga chanjo inawezekana kuna fyuzi kichwani zimelegea tukianza na askofu Rashidi na anakoelekea atachanganyikiwa hii yote ni laana ya wizi wa kura inamtafuna
Ili niwaone wapinga chanjo kua wako sawa kiakili, naomba wasusie dawa zote za hospitali zinazotoka nchi za mabeberu bila hivyo nitaendelea kuwaona ni wajinga tu
Nataka mumwambie askofu kipindi kile amevunjika miguu anatembelea wheel chair dawa za mabeberu ndio zilimtibu, na aelewe kwamba wakati yeye anakula analala anashiba kwa sadaka za waumini ajue kuna watu humu duniani hawalali wanaumiza vichwa kwa tafiti za kisayansi kutengeneza dawa za za magonjwa mbalimbali
Jambo linalonishangaza ni kwamba wasio wataalamu wa mambo ya afya wakisema chanjo hazina madhara wanaonekana waelewa wenye akili na sisi tusio watalamu wa afya tukisema hatutaki chanjo tunaonekana wakorofi.Haya maajabu kabisaMweshmiwa mbunge wa viti maalumu Humphrey Polepole yeye anasema tusipige chanjo ila tufanye mazoezi kwa wingi pia tule ugali wa dona na matembele kwa wingi na kuondoa hofu tutaishinda corona
Askofu yeye anadai tumuomne sana Mungu kwani alikua ameshaliponya taifa na korona ikaisha, pia analaumu sana kwanini viongozi wameachana na maelekezo ya JPM katika kukabiliana na COVID?
Sasa basi mi namuomba Askofu atembelee hospitali za Bugando na KCMC akawaombee wagonjwa walioko kwenye oksijen waweze kupona maana hali si shwari.
Kwanini nawaona wapinga chanjo wana shortage kichwani?
Kwanza kabisa Nchi hii wengi wanaopinga chanjo hawana utaalamu wowote wa maswal ya utabibu wala tiba wala hawajawai kufanya tafiti zozote za kitabibu, askofu kasomea elimu ya dini,
Anadai kwanini chanjo haikusubiri miaka kumi ndio itumike, serious mtu mwenye akili timamu hawezi kuuliza swali la kijinga namna hii, ugonjwa wa mlipuko unaoua kwa muda mfupi unataka chanjo ichukue miaka kumi?
Angalia ugonjwa ulivyoingia nchi za watu kule kwa siku walikua wanapoteza maelfu na maelfu ya watu, Italy hadi wazee walitaka kuisha askofu alitaka mpaka 2030 ndio chanjo ianze kutumika?
Vuta kumbukumbu tatizo la Ebora, chanjo yake ilipatikana ndani ya mwaka mmoja tu na ikafanya kazi kwa ufanisi mpaka leo Ebora imebaki kwenye vitabu,
Wazungu wanataka kutuua na chanjo zao? ni mpumbavu tu ndiye anaweza kusema kauli kama hizo
Binafsi sina ubaya wala chuki na mtu ila twende mbele turudi nyuma wote wanaopinga chanjo inawezekana kuna fyuzi kichwani zimelegea tukianza na askofu Rashidi na anakoelekea atachanganyikiwa hii yote ni laana ya wizi wa kura inamtafuna
Ili niwaone wapinga chanjo kua wako sawa kiakili, naomba wasusie dawa zote za hospitali zinazotoka nchi za mabeberu bila hivyo nitaendelea kuwaona ni wajinga tu
Nataka mumwambie askofu kipindi kile amevunjika miguu anatembelea wheel chair dawa za mabeberu ndio zilimtibu, na aelewe kwamba wakati yeye anakula analala anashiba kwa sadaka za waumini ajue kuna watu humu duniani hawalali wanaumiza vichwa kwa tafiti za kisayansi kutengeneza dawa za za magonjwa mbalimbali
Nadharia yako Haina uhalisia, Kuna chanjo nyingi tu virus , hepatitis nkMkuu fanya utafiti kidogo kuhusu Virus then utakuwa na ufahamu kama kuna chanjo ya virus. Virus ni human made ni sawa na computer virus. Hivyo utatakiwa kila mara upigwe chanjo kama ambavyo computer virus anavyotelewa version mpya kila mara. Hivyo wahuni wameamua kila mara wawatengenezee virus variant ili waendelee kuwapiga pesa kila mara. Hujiulizi kwa nini huyo corona virus hawashambulii watoto?? Fahamu kuwa huyo corona virus ametengenezwa purposely aliwashambulie watoto ila huko mbeleni wanaweza kuingiwa na shetani wakatengeneza variant wakushambulia watoto usishangae!