#COVID19 Sijui kama mtazamo wangu uko sawa, ila nawaona wote wanaopinga chanjo kama wana shortage kichwani!

unajua wazingu mpaka leo wamechanja wangapi? nani kakwambia wazungu wanapinga ch

Sio wote na kwanini sio wote hadi chanjo ifike huku polini na imeanzia kwao kwanini wasichanjwe kwanza wote huko kwao
 
Sio wote na kwanini sio wote hadi chanjo ifike huku polini na imeanzia kwao kwanini wasichanjwe kwanza wote huko kwao
sio wote kwasababu bado wanaendelea kuchanja
 
watu wanapata chanjo we unasema ni majaribio?
Kuipata chanjo OG toka kwa mzungu ambaye bado anachanja raia wake hii ni ndoto mzungu hajawahi kumkubali negro usisahau hilo
 
Kuipata chanjo OG toka kwa mzungu ambaye bado anachanja raia wake hii ni ndoto mzungu hajawahi kumkubali negro usisahau hilo
negro mbn anakula njugu za ARV katengeneza yeye?
 
Apathetic fool
 
Mkuu fanya utafiti kidogo kuhusu Virus then utakuwa na ufahamu kama kuna chanjo ya virus. Virus ni human made ni sawa na computer virus. Hivyo utatakiwa kila mara upigwe chanjo kama ambavyo computer virus anavyotelewa version mpya kila mara. Hivyo wahuni wameamua kila mara wawatengenezee virus variant ili waendelee kuwapiga pesa kila mara. Hujiulizi kwa nini huyo corona virus hawashambulii watoto?? Fahamu kuwa huyo corona virus ametengenezwa purposely aliwashambulie watoto ila huko mbeleni wanaweza kuingiwa na shetani wakatengeneza variant wakushambulia watoto usishangae!
 
Hawawezi kukuelewa mkuu hawajui yakuwa kwenye swala la maslahi hata wazungu wenyewe hugeukana
 



angalia hizi data vizuri, watu mil 184 wamepona corona bila hata chanjo wala dawa! ila media znatumia hao watu mil 4 kutengeneza attention (panic) kiasi kwamba watu wameichukulia corona kama death sentence!

lakini pia angalia hapa


- kwa kifupi ni kwamba hawa watu mil 184 waliopona bila chanjo wala dawa, ni wapuuzi wewe ndo mwenye akili kuliko wao! kila laheri katika safari yako ya kuufanya mwili wako kutegemea dawa
 
Mkuu,wewe unajua utakua kundi gani kati ya hayo makundi mawili ya walio pona au waliokufa? Issue ina anzia hapo.
 

Jambo linalonishangaza ni kwamba wasio wataalamu wa mambo ya afya wakisema chanjo hazina madhara wanaonekana waelewa wenye akili na sisi tusio watalamu wa afya tukisema hatutaki chanjo tunaonekana wakorofi.Haya maajabu kabisa
 
Mwendazake aliwajaza ujinga wengi...tuwaonee huruma.
Though point inabakia palepale Je msimamno wa corona na chanjo wa mwendazake ulikuwa wa Serikali ama wa kwake binafsi.

Je na huu mpya ni wa Rais Samia ama ni wa Serikali.

Hapa wananchi tuponjia panda.
 
Nadharia yako Haina uhalisia, Kuna chanjo nyingi tu virus , hepatitis nk
Ni sawa anyehoji chanjo ya malaria ambaye Ni parasite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…