Inasikitisha sananyumba za siku hizi zimegeuka madangulo, mabinti, mama, dada, wanawake wote watokao nyumba zilizo nyingi ni MAKAHABA. Sifa ya kwanza ya kumjua kahaba/malaya ni VAZI LAKE na mengineyo...taifa la Tanzania limekuwa ni taifa la wazinzi na wahuni, tazama hata maofisini hasa ofisi za umma,,nyingi wanawake huvaa KIKAHABA, utadhani nchi haina dini wakati kila raia anajinasibu kumcha Mungu, sijui Mungu gani tunamcha
B4o si kweli..hao wanapigika balaa..kitakachokushibda kuwapiga hao labda tu uwe umeweka dau dogo..hizo ni mali za UmmaWanawake wanaovaa hivyo mara nyingi wanaakili nyingi na exposure kubwa na hawachapiki kizembe kama hawa wa magauni ambao hata bodaboda wanajipigia. Kumchapa dem wa hivi kama ni mke wa mtu ni hadi awe kakuelewa sana na uwe na akili kubwa au mkwanja mrefu kama anatamaa. Kwanza ukijichanganya anaweza kukuchana live ukaona nyotanyota hasa ukimuingia kizembe ukidhani kavaa hivyo ili umtongoze.
NB; Ni rahisi kumchapa dem mlokole kuliko kumchapa dem wa hivyo
Kwahiyo wavaa magauni ni maharage ya mbeya??Wanawake wanaovaa hivyo mara nyingi wanaakili nyingi na exposure kubwa na hawachapiki kizembe kama hawa wa magauni ambao hata bodaboda wanajipigia. Kumchapa dem wa hivi kama ni mke wa mtu ni hadi awe kakuelewa sana na uwe na akili kubwa au mkwanja mrefu kama anatamaa. Kwanza ukijichanganya anaweza kukuchana live ukaona nyotanyota hasa ukimuingia kizembe ukidhani kavaa hivyo ili umtongoze.
NB; Ni rahisi kumchapa dem mlokole kuliko kumchapa dem wa hivyo
Hahaha..View attachment 2905338
Babu tumsikilize au tumpotezee?
Babu kaamua kutoa darsa lenye maswali na majibu kabaki nayo mwenyewe...Hahaha..
Angetoa sababu sasa
HapanaKwahiyo wavaa magauni ni maharage ya mbeya??
dronedrakeView attachment 2905338
Babu tumsikilize au tumpotezee?
sasa hao ni wake za watu?? au wajasilia mwili?Mavazi haya ni ndoano ya kuvutia wanaume wengi kumuona mwanamke ni koloni lisilo na mtawala, kwamba bado yupo sokoni hana mme ama ana mme ila bado anataka attention ya wanaume wengine.
View attachment 2905324
View attachment 2905325
View attachment 2905326
View attachment 2905327
Mzee wetu huyu anatupa madini, hizo code ni kwa waliosoma cuba tu
πππMzee wetu huyu anatupa madini, hizo code ni kwa waliosoma cuba tu
Wahuni nao huzeeka π€£
ππPiga chini mke mvaa vimini
Wanaume wakati mwingine mnajichanganya sana. Yani ukiona mwanamke yeyote kavaa kimini ndo ujue anajiuza, wapo wanaovaa kwasababu wanapenda kuvaa hivo. Na haina uhusiano wowote na tabia zake.Mbona unahasira kama umegongewa na bodaboda....nimesema kama anatamaa zake ndio inaweza kuwa ticket ya kugongwa. Ila sio kisa kavaa hivo ndo ujichanganye eti anataka kugongwa,utaumbuka
Sijaelewa kwa nini mie mnadhani nitafika umri wa kuitwa babu? Mwenzenu naishi kwa matumaini tuu hapa nilipo. Nikifika 50 ni bahati
Wengine wanapenda wake zao wavae viminiPiga chini mke mvaa vimini