To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Inasikitisha sananyumba za siku hizi zimegeuka madangulo, mabinti, mama, dada, wanawake wote watokao nyumba zilizo nyingi ni MAKAHABA. Sifa ya kwanza ya kumjua kahaba/malaya ni VAZI LAKE na mengineyo...taifa la Tanzania limekuwa ni taifa la wazinzi na wahuni, tazama hata maofisini hasa ofisi za umma,,nyingi wanawake huvaa KIKAHABA, utadhani nchi haina dini wakati kila raia anajinasibu kumcha Mungu, sijui Mungu gani tunamcha