Sijui kama nina wivu uliopitiliza lakini wanaume tuliooa unamwachaje mke wako atoke nje na vimini ama suruali / taiti zinazombana?

Sijui kama nina wivu uliopitiliza lakini wanaume tuliooa unamwachaje mke wako atoke nje na vimini ama suruali / taiti zinazombana?

nyumba za siku hizi zimegeuka madangulo, mabinti, mama, dada, wanawake wote watokao nyumba zilizo nyingi ni MAKAHABA. Sifa ya kwanza ya kumjua kahaba/malaya ni VAZI LAKE na mengineyo...taifa la Tanzania limekuwa ni taifa la wazinzi na wahuni, tazama hata maofisini hasa ofisi za umma,,nyingi wanawake huvaa KIKAHABA, utadhani nchi haina dini wakati kila raia anajinasibu kumcha Mungu, sijui Mungu gani tunamcha
Inasikitisha sana
 
Wanawake wanaovaa hivyo mara nyingi wanaakili nyingi na exposure kubwa na hawachapiki kizembe kama hawa wa magauni ambao hata bodaboda wanajipigia. Kumchapa dem wa hivi kama ni mke wa mtu ni hadi awe kakuelewa sana na uwe na akili kubwa au mkwanja mrefu kama anatamaa. Kwanza ukijichanganya anaweza kukuchana live ukaona nyotanyota hasa ukimuingia kizembe ukidhani kavaa hivyo ili umtongoze.
NB; Ni rahisi kumchapa dem mlokole kuliko kumchapa dem wa hivyo
B4o si kweli..hao wanapigika balaa..kitakachokushibda kuwapiga hao labda tu uwe umeweka dau dogo..hizo ni mali za Umma
 
Wanawake wanaovaa hivyo mara nyingi wanaakili nyingi na exposure kubwa na hawachapiki kizembe kama hawa wa magauni ambao hata bodaboda wanajipigia. Kumchapa dem wa hivi kama ni mke wa mtu ni hadi awe kakuelewa sana na uwe na akili kubwa au mkwanja mrefu kama anatamaa. Kwanza ukijichanganya anaweza kukuchana live ukaona nyotanyota hasa ukimuingia kizembe ukidhani kavaa hivyo ili umtongoze.
NB; Ni rahisi kumchapa dem mlokole kuliko kumchapa dem wa hivyo
Kwahiyo wavaa magauni ni maharage ya mbeya??
 
MWANAUME TAFUTA HELA ZALISHA MWANAMKE, HAKIKISHA UMEACHA KIZAZI ALAFU JIJENGE KIUCHUMI, MAMBO YA WANAWAKE NA NDOA UKIENDEKEZA UTAPATA PRESHA,KISUKARI NA MENGINEYO.
SHIDA WANAUME TUNAKAZA SANA MAFUVU ETI KISA WE MWANAUME.

KATAAAAAAAAA NDOAAAAAAAAA!!
 
Mavazi haya ni ndoano ya kuvutia wanaume wengi kumuona mwanamke ni koloni lisilo na mtawala, kwamba bado yupo sokoni hana mme ama ana mme ila bado anataka attention ya wanaume wengine.

1708022080993-png.2905323

View attachment 2905324
View attachment 2905325

View attachment 2905326

View attachment 2905327
sasa hao ni wake za watu?? au wajasilia mwili?
 
Mbona unahasira kama umegongewa na bodaboda....nimesema kama anatamaa zake ndio inaweza kuwa ticket ya kugongwa. Ila sio kisa kavaa hivo ndo ujichanganye eti anataka kugongwa,utaumbuka
Wanaume wakati mwingine mnajichanganya sana. Yani ukiona mwanamke yeyote kavaa kimini ndo ujue anajiuza, wapo wanaovaa kwasababu wanapenda kuvaa hivo. Na haina uhusiano wowote na tabia zake.
 
Hao uliowapost hapa hakuna aliyeolewa mkuu, hao ni magume gume ya mjini
 
Back
Top Bottom