Design Your Idea Senior Member Joined Jun 3, 2024 Posts 154 Reaction score 480 Oct 4, 2026 #1 Nachojiuliza ni namna gani wanawake wame master sanaa ya kuzaa na bwana akalea kama watoto wa kiuno chake.
Nachojiuliza ni namna gani wanawake wame master sanaa ya kuzaa na bwana akalea kama watoto wa kiuno chake.
proton pump JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 7,616 Reaction score 11,854 Oct 4, 2026 #2 Utafiti wako umefeli nenda karudie
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,324 Reaction score 202,767 Oct 4, 2026 #3 Ktk kizazi chetu hakuna mtoto wa nje ya baba yetu. Kafanye utafiti upyaa.
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 43,349 Reaction score 104,110 Oct 4, 2026 #4 Wewe wa ngapi kuzaliwa?
machafuko jr JF-Expert Member Joined Sep 7, 2017 Posts 920 Reaction score 2,071 Oct 4, 2026 #5 mimi ni wa nne kwetu. sifanani na ndugu yang yeyote aisee kwanza me mweupe pee ndugu zangu ile rangi kama mkaa mkuu umenipa mawazo sanaa
mimi ni wa nne kwetu. sifanani na ndugu yang yeyote aisee kwanza me mweupe pee ndugu zangu ile rangi kama mkaa mkuu umenipa mawazo sanaa
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Oct 4, 2026 #6 Wanasema ni lazima uchanganye kete, kete za aina moja kama baba yao ni mbulala basi watoto wake wote watakuwa mbulula kama baba yao. Kete moja mbili za nje zitakuwa smart kama za mwanzo ni utopolo mtupu
Wanasema ni lazima uchanganye kete, kete za aina moja kama baba yao ni mbulala basi watoto wake wote watakuwa mbulula kama baba yao. Kete moja mbili za nje zitakuwa smart kama za mwanzo ni utopolo mtupu
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,727 Reaction score 55,401 Oct 4, 2026 #7 Umeingia mkenge
Jerry001 JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 1,685 Reaction score 4,003 Oct 4, 2026 #8 Umeingia kwenye copy.
Durovic JF-Expert Member Joined Mar 13, 2017 Posts 4,102 Reaction score 7,457 Oct 4, 2026 #9 Design Your Idea said: Nachojiuliza ni namna gani wanawake wame master sanaa ya kuzaa na bwana akalea kama watoto wa kiuno chake. Click to expand... Wee ukishazaliwa kazi yako nikuishi hayo mengine ya nini au unataka uwe mgunduzi ?
Design Your Idea said: Nachojiuliza ni namna gani wanawake wame master sanaa ya kuzaa na bwana akalea kama watoto wa kiuno chake. Click to expand... Wee ukishazaliwa kazi yako nikuishi hayo mengine ya nini au unataka uwe mgunduzi ?
M MTU MKUU Senior Member Joined Feb 5, 2025 Posts 141 Reaction score 187 Oct 4, 2026 #10 Mjomba Kama wa kwako sio Mwaminifu Basi usimfananishe na Wengine. Watawa wapotu Mjomba. Na tuna wafuraia wame kuwa Baraka kwetu.
Mjomba Kama wa kwako sio Mwaminifu Basi usimfananishe na Wengine. Watawa wapotu Mjomba. Na tuna wafuraia wame kuwa Baraka kwetu.