Sijui kwanini, nahisi kama Kassim Majaliwa Majaliwa atang'olewa Uwaziri Mkuu kabla ya 2025

Dalili ya mvua ni mawingu
 
Unatamani PM atoke Zanzibar. Yote yanawezekana!!
 
Kutunza na kulea waziri mkuu mstaafu ni gharama kubwa kwa nchi. Heri aendelee tu mpaka 2030 Wakamalize na Mama ili kuepuka gharama
Gharama kubwa si ya kifedha, gharama kubwa ni kuwaacha loose magwiji wengi wanaofahamu siri za nchi ushawishi na nguvu
Mawaziri wakuu, Ma TISS nk ambao ni rahisi ku gang up na kufanya uhuni kama wa Niger na Gabon

Tangu Samia anashika nchi body language ya Majaliwa siyo Ile ya wakati wa JPM. Amekuwa mdogo sana. Kuna uwezekano wakati wa JPM. Maja alimua under rate Samia
 
Mungu akubariki sana,ww ni great thinker kwelikweli!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…