Sijui kwanini, nahisi kama Kassim Majaliwa Majaliwa atang'olewa Uwaziri Mkuu kabla ya 2025

Sijui kwanini anashindwa kufanya maamuzi ya kiume..

Majaaliwa anana wazi hatakiwi lakini ameuchuna.
Ingekuwa bora aondoke kwa amani tu ampe uhuru rais amuweke amtakaye.
 
Huyu FaizaFoxy ni kil.aza sana! Nadhani ni wale Gumbaru wa pwani!
Hajui chochote na Hawa ndo chawa walioshabikia uuzwaji wa Bandari zetu milele kwa Waarabu wa Dubai!!
Eti " analysing yangu' badala ya analysis yangu!
Waswahili wengine vichwa Nazi sana!!
 
Majaliwa angeondoka tu, uwezo aliopewa na JPM hana tena, he's a scapegoat, akionyesha makali wale CHAWA wanadai anamfunika MAMA, akikaa kimya au kusubiri maelekezo, ANAPWAYA!
It's lose lose situation.
Mama ndio ANAPWAYA, ila hatutaki kukubali
 
Majaliwa angeondoka tu, uwezo aliopewa na JPM hana tena, he's a scapegoat, akionyesha makali wale CHAWA wanadai anamfunika MAMA, akikaa kimya au kusubiri maelekezo, ANAPWAYA!
It's lose lose situation.
Mama ndio ANAPWAYA, ila hatutaki kukubali
Kwangu saa 100 ndio anapwaya tena sana......Majaliwa for presidency 2025
 
Hapana sina chuki. Anapwaya, ama kasi ya mama imemshinda ama anafanya kusudi.
Umetumwa kupima upepo uku ili akiondolewa watu wasipige kelele,ila ukweli ni kwamba ukiongelea Kasi,basi Majaliwa yuko na Kasi kuliko huyo unayemsemea/unayejisemea tena kwa mbali sana ila msingi mkuu wa hoja hii ni hofu ya 2025,Huyo mwingine kwakuwa anapwaya/anajijua so anaogopa isije Majaliwa akapita naye kwenye hicho kiti kwahiyo inatafutwa namna ya kumtoa,kikubwa kinachofanyika ni self defence tu
 
Nadhani tungeifuta nafasi ya PM....Sumaye alitukanwa hadi akakomaa......Msuta huko nyuma akitukanwa sanaa pia kutulisha nyadi wanunue ndege y Rais na upendeleo mkoa wake etc....Lowasa wanasema jizi kubwa Ri chmonduli.....huyu nae anapwaya mama anaupiga mwingi khaaaa
 
Mama ndie mtu pekee anaemtisha huko CCM. Na Mama kashapewa taarifa kuwa majaliwa anakubalika na wananchi kuliko yeye so wanamtafutia zengwe.
 
Mama ndie mtu pekee anaemtisha huko CCM. Na Mama kashapewa taarifa kuwa majaliwa anakubalika na wananchi kuliko yeye so wanamtafutia zengwe.
Mama hana roho za kijinga hizo.
 
Yeye alikuwa timu Mwendazake hivyo Imani yake kubwa ilikuwa awamu ya 5 Kwa Sasa haendani na siasa za mama Kwa hiyo kuondolewa ni sahihi.
 
Mimi naona vingine. Atabakia hadi bunge livunjwe 2025. Huyu alianzia chini na ghafla akawa waziri Mkuu na kufanya vyema. Kifo cha Magufuli, kwa maoni yangu, kikamvunja moyo kidogo. Ghafla huenda aliona anastahiki nambari moja, na sasa naona anajiandaa na hilo hivyo kupunguza kasi ya kazi kujitayarisha kwa marathon. Kwa ustaarabu wa mama, atakuwepo hadi ahitimishe ngwe 2025 halafu tusubirie sarakasi kuburudisha mbio za kupokezana vijiti. Nakumbuka mbio hizi skuli tukiziita rilee ila sijui ni kwa nini😂😂.

Wazee zamani wakituambia "kua uone mambo". Mambo yenyewe ndiyo hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…