SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Huyo anafokolewa na vibenten akili hana kabisaWewe ulishatobolewa hadi akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo anafokolewa na vibenten akili hana kabisaWewe ulishatobolewa hadi akili
Nani ana kasi kuliko mwenzake??Hapana sina chuki. Anapwaya, ama kasi ya mama imemshinda ama anafanya kusudi.
😂🤣Kasi ya mwakinyoSasa Mama ana kasi gani??hebu acha UJINGA wako
🤣😂Umeelewa mjibuSijakuelewa swali lako.
Mtu ambaye kitu kidogo tu kama kukojoa mpaka achuchumae usitegemee atakuja kuwa na kasi maisha yake yoteAsiye na macho haambiwi tazama, asiye na masikio haambiwi sikia.
Nadhani unamaanisha Afya ya akili.Ni kheri angejiondowa tu akafanya yake.
Binafsi namuhisi hayupo sawa kiafya.
Ikiwa kukojowa tu tinachuchumaa hujaona tunavyokunya, tuna lala kabisa.Mtu ambaye kitu kidogo tu kama kukojoa mpaka achuchumae usitegemee atakuja kuwa na kasi maisha yake yote
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app