Sasa ndo unifokee jamani😃😃😃.. hayajakukuta tu mkuuSi ulijipendekeza mwenyewe, kwan ulishikiwa bunduki utoe?.
Vitu vingine kuwa mtu mzima bas, umetenda wema imetosha, piga bunda acha kung'aa sharubu upewe vi ahsante uchwara.
Kila siku humu mnaambiwa single maza sio oohh mnaona watu miyeyusho, haya sasa kakupiga mpaka wewe mwanamke mwenzake na kitu kizito.
Na usithubutu kuwaambia kwenu maana utaonekana fala
Kwakweli, japo simwombei apatwe tena na shida maana naweza nikamdisappoint akajiskia vibayaShida zina tabia ya kurudi,umeisha jua ni mtu wa aina gani..as long as ulijionea hali ya mtoto,ukajitoa basi moyo wako uwe mweupe na achana nae. Ingekuwa kakupiga hela hapo ningekushauri aitapike.
Ulimpigia simu kabla ya kwenda hosp?Na ulivyomkosa ulimpigia?Yaani nashindwa kueleza ninavyojiskia,, sihitaji anilipe chochote wala chochote ila tu nimeumia ndomana najishangaa kwanini inakua hivi hadi nashindwa kujizuia.. Hata sielewi naumia nini yani
Ulivyomalizia nimejikuta nacheeka, lkn hajafanya poaNimeumia sana mkuu, ameshindwa kunishukuru basi hata angenipigia Simu anijulishe kama wanaendelea vizuri.. Nimeumia haki ya Mungu tena🥺
Naomba nisaidie kuwaambia mods wafute basi... By the way hakuna anayenifahamu wala anayemfahamu huyo dada, na wala sijaandika ili nipate likes kama unavyodhani.. Ni tabia ambayo sio nzuri kama na wewe unayo acha mara moja...Mkuu futa huu uzi nakuomba....
kama ulisaidia kwa moyo mmoja acha Mungu atamkumbusha kushukuru ila kama uliandika kwa ajili ya reactions na replies uache....
Kabla ya kwenda nilimpigia karibu mara5 nzima na nilianzia kwenda nyumbani ili nijue kama waliruhusiwa au laah, sikuwakuta ndio nikaenda na hospitali nako sikuwakutaUlimpigia simu kabla ya kwenda hosp?Na ulivyomkosa ulimpigia?
Umenielewa vibaya ila jaribu kuisoma hiyo comment ya denoo JG hapo juu kwa utulivu utaelewa pia nini nilimaanishaNaomba nisaidie kuwaambia mods wafute basi... By the way hakuna anayenifahamu wala anayemfahamu huyo dada, na wala sijaandika ili nipate likes kama unavyodhani.. Ni tabia ambayo sio nzuri kama na wewe unayo acha mara moja...
Nadhani ni funzo tu kupitia scenario yangu wengi zaidi wanaweza kujifunza namna ya kuishi na watu...
Walau nimepata ahueni kupitia Nawaz na comments za watu hapa, au ulitaka niendelee kuumia mwenyewe hadi lini.. watu mkoje lakini🤒🤒🤒
Am sorry 🙏🙏
Better,Huna deni na yeye.Tunaishi na watu tusio wajua kabisaNimeliona hilo mkuu, Nashukuru Mungu nimejifunza japo in a hard way, ila nitabadilisha namna ya kuwatazama na kudeal na watu
Yaani, hili nalo linawezekanaNimejifunza mengi ila sikuhizi nasaidia sana wanaume kuliko wanawake, na wanawake naosaidia i wale watu wazima sana sana ,hiki kizazi cha 1997 kuendelea kimeshanitoa imani nacho kabisa ,Hio ni miamala ya wadau waliosaidia na kuna uwezekano kuna wengins wengi tu nao hawajatajwa hapo na madau mazur wametoa
Hakuna haja ya kufuta wala kujuta kuandika, uwazi ni mzuriNaomba nisaidie kuwaambia mods wafute basi... By the way hakuna anayenifahamu wala anayemfahamu huyo dada, na wala sijaandika ili nipate likes kama unavyodhani.. Ni tabia ambayo sio nzuri kama na wewe unayo acha mara moja...
Nadhani ni funzo tu kupitia scenario yangu wengi zaidi wanaweza kujifunza namna ya kuishi na watu...
Walau nimepata ahueni kupitia mawazo na comments za watu hapa, au ulitaka niendelee kuumia mwenyewe hadi lini.. watu mkoje lakini🤒🤒🤒
Am sorry 🙏🙏