Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
- Thread starter
- #321
Sasa ndo unifokee jamani😃😃😃.. hayajakukuta tu mkuuSi ulijipendekeza mwenyewe, kwan ulishikiwa bunduki utoe?.
Vitu vingine kuwa mtu mzima bas, umetenda wema imetosha, piga bunda acha kung'aa sharubu upewe vi ahsante uchwara.
Kila siku humu mnaambiwa single maza sio oohh mnaona watu miyeyusho, haya sasa kakupiga mpaka wewe mwanamke mwenzake na kitu kizito.
Na usithubutu kuwaambia kwenu maana utaonekana fala