Sijui kwanini nimeumia hivi

Sijui kwanini nimeumia hivi

Si ulijipendekeza mwenyewe, kwan ulishikiwa bunduki utoe?.
Vitu vingine kuwa mtu mzima bas, umetenda wema imetosha, piga bunda acha kung'aa sharubu upewe vi ahsante uchwara.

Kila siku humu mnaambiwa single maza sio oohh mnaona watu miyeyusho, haya sasa kakupiga mpaka wewe mwanamke mwenzake na kitu kizito.

Na usithubutu kuwaambia kwenu maana utaonekana fala
Sasa ndo unifokee jamani😃😃😃.. hayajakukuta tu mkuu
 
Shida zina tabia ya kurudi,umeisha jua ni mtu wa aina gani..as long as ulijionea hali ya mtoto,ukajitoa basi moyo wako uwe mweupe na achana nae. Ingekuwa kakupiga hela hapo ningekushauri aitapike.
Kwakweli, japo simwombei apatwe tena na shida maana naweza nikamdisappoint akajiskia vibaya
 
Mkuu futa huu uzi nakuomba....

kama ulisaidia kwa moyo mmoja acha Mungu atamkumbusha kushukuru ila kama uliandika kwa ajili ya reactions na replies uache....
 
Yaani nashindwa kueleza ninavyojiskia,, sihitaji anilipe chochote wala chochote ila tu nimeumia ndomana najishangaa kwanini inakua hivi hadi nashindwa kujizuia.. Hata sielewi naumia nini yani
Ulimpigia simu kabla ya kwenda hosp?Na ulivyomkosa ulimpigia?
 
Mkuu futa huu uzi nakuomba....

kama ulisaidia kwa moyo mmoja acha Mungu atamkumbusha kushukuru ila kama uliandika kwa ajili ya reactions na replies uache....
Naomba nisaidie kuwaambia mods wafute basi... By the way hakuna anayenifahamu wala anayemfahamu huyo dada, na wala sijaandika ili nipate likes kama unavyodhani.. Ni tabia ambayo sio nzuri kama na wewe unayo acha mara moja...
Nadhani ni funzo tu kupitia scenario yangu wengi zaidi wanaweza kujifunza namna ya kuishi na watu...
Walau nimepata ahueni kupitia mawazo na comments za watu hapa, au ulitaka niendelee kuumia mwenyewe hadi lini.. watu mkoje lakini🤒🤒🤒
Am sorry 🙏🙏
 
Inawezekana huyo classmate amekuwekea muda maalum wa kukupa special thanks, hebu kuwa na subra kidogo, ameona sio fair kwa msaada wako kukuweka kundi moja na hao buku 7 kama wale wa lumumba.
 
Ulimpigia simu kabla ya kwenda hosp?Na ulivyomkosa ulimpigia?
Kabla ya kwenda nilimpigia karibu mara5 nzima na nilianzia kwenda nyumbani ili nijue kama waliruhusiwa au laah, sikuwakuta ndio nikaenda na hospitali nako sikuwakuta
 
Naomba nisaidie kuwaambia mods wafute basi... By the way hakuna anayenifahamu wala anayemfahamu huyo dada, na wala sijaandika ili nipate likes kama unavyodhani.. Ni tabia ambayo sio nzuri kama na wewe unayo acha mara moja...
Nadhani ni funzo tu kupitia scenario yangu wengi zaidi wanaweza kujifunza namna ya kuishi na watu...
Walau nimepata ahueni kupitia Nawaz na comments za watu hapa, au ulitaka niendelee kuumia mwenyewe hadi lini.. watu mkoje lakini🤒🤒🤒
Am sorry 🙏🙏
Umenielewa vibaya ila jaribu kuisoma hiyo comment ya denoo JG hapo juu kwa utulivu utaelewa pia nini nilimaanisha

by the way ukipendelea kufuta unaweza kufanya wewe mwenyewe
 
Inawezekana huyo classmate amekuwekea muda maalum wa kukupa special thanks, hebu kuwa na subra kidogo, ameona sio fair kwa msaada wako kukuweka kundi moja na hao buku 7 kama wale wa lumumba.
Sawa
 
Nimejifunza mengi ila sikuhizi nasaidia sana wanaume kuliko wanawake, na wanawake naosaidia i wale watu wazima sana sana ,hiki kizazi cha 1997 kuendelea kimeshanitoa imani nacho kabisa ,Hio ni miamala ya wadau waliosaidia na kuna uwezekano kuna wengins wengi tu nao hawajatajwa hapo na madau mazur wametoa
 
Umenielewa vibaya ila jaribu kuisoma hiyo comment ya denoo JG hapo juu kwa utulivu utaelewa pia nini nilimaanisha

by the way ukipendelea kufuta unaweza kufanya wewe mwenyewe
Pole umekuja kwa kuchelewa.. Halafu pekeyako ndo umewaza negative.. Hujishangai hata??
 
Nimejifunza mengi ila sikuhizi nasaidia sana wanaume kuliko wanawake, na wanawake naosaidia i wale watu wazima sana sana ,hiki kizazi cha 1997 kuendelea kimeshanitoa imani nacho kabisa ,Hio ni miamala ya wadau waliosaidia na kuna uwezekano kuna wengins wengi tu nao hawajatajwa hapo na madau mazur wametoa
Yaani, hili nalo linawezekana
 
Naomba nisaidie kuwaambia mods wafute basi... By the way hakuna anayenifahamu wala anayemfahamu huyo dada, na wala sijaandika ili nipate likes kama unavyodhani.. Ni tabia ambayo sio nzuri kama na wewe unayo acha mara moja...
Nadhani ni funzo tu kupitia scenario yangu wengi zaidi wanaweza kujifunza namna ya kuishi na watu...
Walau nimepata ahueni kupitia mawazo na comments za watu hapa, au ulitaka niendelee kuumia mwenyewe hadi lini.. watu mkoje lakini🤒🤒🤒
Am sorry 🙏🙏
Hakuna haja ya kufuta wala kujuta kuandika, uwazi ni mzuri
 
Back
Top Bottom